mnyikungu
JF-Expert Member
- Jul 26, 2009
- 1,963
- 2,479
mbeya city wanabutua tu hawana malengo yoyote leo watapigwa tano bila
tulia wewe
mbeya city wanabutua tu hawana malengo yoyote leo watapigwa tano bila
mjiulize ilikuwa tulidroo na nyinyi.......na leo lazima tuwachape
mbeya city wameshapigwa bao moja mkuu..bado mbili tufunge kazi
leo ndio utajua kama kuna maini magumuhawa wanyalu ni walaini kama maini...leo ni kichapo tu
ndoto hizoleo mbeya city ni kichapo tu hakuna cha sare
mbona yanga mnajiamin sana au matokeo mnayo
Kwastaili hiyo mutashindaKadi Nyekundu Mbeya Cty
Kadi Nyekundu Mbeya Cty
Mbona Yanga Mnajiamin Sana Au Matokeo Mnayo
Liverpool 1 Westbromwich Albion O