M Masuke JF-Expert Member Joined Feb 28, 2008 Posts 4,610 Reaction score 1,269 Oct 31, 2013 #221 Huyu refa matatizo kweli, kwanza muda ulikuwa umeshaisha, pili jamaa amekwatuliwa nje ya 18, anyway yeye ndo mwamuzi wa mwisho.
Huyu refa matatizo kweli, kwanza muda ulikuwa umeshaisha, pili jamaa amekwatuliwa nje ya 18, anyway yeye ndo mwamuzi wa mwisho.
brave one JF-Expert Member Joined Feb 5, 2013 Posts 4,879 Reaction score 7,393 Oct 31, 2013 Thread starter #222 mpira umeisha mabomu yanarindima uwanjani
bucca JF-Expert Member Joined Oct 24, 2013 Posts 540 Reaction score 85 Oct 31, 2013 #223 Simba mbona mnafanya fujooooooooo
Makoye Matale JF-Expert Member Joined May 2, 2011 Posts 6,490 Reaction score 2,104 Oct 31, 2013 #224 brave one said: gool kingwande anafunga simba 1 kagera sugar 1 Click to expand... Salum Kanoni.
Baba V JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 19,479 Reaction score 9,546 Oct 31, 2013 #225 Wamefungwa wanaanza kung'oa viti... mabomu....
Kingo JF-Expert Member Joined May 12, 2009 Posts 856 Reaction score 395 Oct 31, 2013 #226 Mechi imesimama, baada ya KGR Sugar kusawazisha, mashabiki wa Simba wanaleta fujo na kung'oa viti uwanjani.
Mechi imesimama, baada ya KGR Sugar kusawazisha, mashabiki wa Simba wanaleta fujo na kung'oa viti uwanjani.
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,919 Oct 31, 2013 #227 watu8 said: Dk 90+5 Simba SC 1 - 1 Kagera S Salum Kanoni anaifungia Kagera bao kwa penati Click to expand... Asante sana mkuu kwa updates,,,,,,,nilikuwa kama nipo uwanjani.........natangulia kukaribisha wageni bhana...
watu8 said: Dk 90+5 Simba SC 1 - 1 Kagera S Salum Kanoni anaifungia Kagera bao kwa penati Click to expand... Asante sana mkuu kwa updates,,,,,,,nilikuwa kama nipo uwanjani.........natangulia kukaribisha wageni bhana...
brave one JF-Expert Member Joined Feb 5, 2013 Posts 4,879 Reaction score 7,393 Oct 31, 2013 Thread starter #228 viti vimeng'olewa uwanja wa taifa
Makoye Matale JF-Expert Member Joined May 2, 2011 Posts 6,490 Reaction score 2,104 Oct 31, 2013 #229 Ooh Yanga ndo wenye vurugu, hawa wanaopigwa mabovu siyn Simba.
Baba V JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 19,479 Reaction score 9,546 Oct 31, 2013 #230 Masuke said: Huyu refa matatizo kweli, kwanza muda ulikuwa umeshaisha, pili jamaa amekwatuliwa nje ya 18, anyway yeye ndo mwamuzi wa mwisho. Click to expand... Ndo mpira huo...
Masuke said: Huyu refa matatizo kweli, kwanza muda ulikuwa umeshaisha, pili jamaa amekwatuliwa nje ya 18, anyway yeye ndo mwamuzi wa mwisho. Click to expand... Ndo mpira huo...
Adharusi JF-Expert Member Joined Jan 22, 2012 Posts 14,493 Reaction score 7,417 Oct 31, 2013 #231 Tukubali ndo mpira aisee
Joel humphrey Senior Member Joined Oct 22, 2013 Posts 184 Reaction score 88 Oct 31, 2013 #232 hiyo draw mbona ndio ushindi kwa simba
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,919 Oct 31, 2013 #233 Hii Kagera si ndiko anatoka rais wa TFF....?? am just connecting the dots, na kinachotoke hapo uwanjani.
Hii Kagera si ndiko anatoka rais wa TFF....?? am just connecting the dots, na kinachotoke hapo uwanjani.
Makoye Matale JF-Expert Member Joined May 2, 2011 Posts 6,490 Reaction score 2,104 Oct 31, 2013 #234 Ooh Yanga ndo wenye vurugu, hawa wanaopigwa mabovu siyn Simba?
Jaguar JF-Expert Member Joined Mar 6, 2011 Posts 3,440 Reaction score 1,029 Oct 31, 2013 #235 Simba wameshinda 1-1.Nawapeni hongera bila hiyana,ila ivo viti mtalipa hakyanani!
INGENJA JF-Expert Member Joined Sep 11, 2012 Posts 4,990 Reaction score 4,266 Oct 31, 2013 #236 Mbona simba mnaletavurugu sasa..?? Mihuwa nashangaa kuskia simba anacheza soccer wakati ukienda serengeti,ngrongoro n.k hukuti viwanja vya mpira
Mbona simba mnaletavurugu sasa..?? Mihuwa nashangaa kuskia simba anacheza soccer wakati ukienda serengeti,ngrongoro n.k hukuti viwanja vya mpira
Mtumpole JF-Expert Member Joined Aug 30, 2010 Posts 2,280 Reaction score 1,293 Oct 31, 2013 #237 Wanazidi kuchonga droo!!!!!
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,919 Oct 31, 2013 #238 brave one said: viti vimeng'olewa uwanja wa taifa Click to expand... OMG,,,,,,,!! Wanatuharibia uwanja wetu hao washabiki wasiojua mpira,,,,,,,,,,si wamdunde tu refa kama wachezaji wa yanga?
brave one said: viti vimeng'olewa uwanja wa taifa Click to expand... OMG,,,,,,,!! Wanatuharibia uwanja wetu hao washabiki wasiojua mpira,,,,,,,,,,si wamdunde tu refa kama wachezaji wa yanga?
D delako JF-Expert Member Joined Oct 6, 2012 Posts 3,011 Reaction score 2,049 Oct 31, 2013 #239 Kagera wamechomoa na mpira umekwisha simba km al shabab now wanang'oa vt na kuvitupa uwanjani...Policcm km kawa pigeni tu "pm'
Kagera wamechomoa na mpira umekwisha simba km al shabab now wanang'oa vt na kuvitupa uwanjani...Policcm km kawa pigeni tu "pm'
brave one JF-Expert Member Joined Feb 5, 2013 Posts 4,879 Reaction score 7,393 Oct 31, 2013 Thread starter #240 Jaguar said: Simba wameshinda 1-1.Nawapeni hongera bila hiyana,ila ivo viti mtalipa hakyanani! Click to expand... viroba ni hatari uwanjani, punguza mkuu
Jaguar said: Simba wameshinda 1-1.Nawapeni hongera bila hiyana,ila ivo viti mtalipa hakyanani! Click to expand... viroba ni hatari uwanjani, punguza mkuu