Dk 90+4
Simba SC 1 - 1 Kagera S
Kagera wanapata bao kwa penati inayokwamishwa kimiani na Salum Kanoni beki wa kulia na mchezaji wa zamani wa Simba...
Mpira umekwisha....
Mashabiki wa Simba wanafanya fujo na askari wa FFU wanafanya kazi yao....
Sijui kwa nini leo mashabiki wa Simba wanafanya fujo wakati kwao droo ni sawa na ushindi...namna gani paleee