Live update: Simba SC va Azam FC

Live update: Simba SC va Azam FC

Kwasisi tunaopenda Hisabati, hii probality ni ndogo sana

Nilidhani kwasababu unapeda Hisabati ungeshuka hesabu hapa tuone i.e probability ni 0.5 na sio kusema ni ndogo sana.
 
toeni updates na yanayojiri basi hayo ya kujifanya yahya au majimarefu waachieni kule kwenye magamba !!
 
Azam anaoa leo, tusubul tumsubilie mwali wetu Simba
 
kibadeni kachoka sana anashika kiuno tu.
 
mpira umesimama kuna mchezaji kaumia hapa
 
Leteni updates, kuna mtu kaandika Simba moja Singano, kuna ukweli katika hilo
 
Back
Top Bottom