TIQO
JF-Expert Member
- Jan 8, 2011
- 13,786
- 2,102
Mkuu , Usisahau kuja na chachandu , mnyama lazima ageuzwe mshikaki
hahaha hivi gemu limeanza?
Mkuu , Usisahau kuja na chachandu , mnyama lazima ageuzwe mshikaki
mkuu haya maneno yake naomba yawepo hadi mwisho wa mtanange
Aisee,leo lazima mnyama apakatwe.
Simba wanatumia 4-4-2 na
Azam wanatumia 4-3-3
Mkuu naombea mpate sare ili kesho yanga wamchape mtu waongoze ligi.
Vibonde vinachuana leo.
simba wanakosa bao la wazi apaa
Nitafurahi kama matokeo yatakuwa hivi
Azam 0-0 Simba
T Prison 2-1 Mbeya city.
mechi zingine hazina madhara kwa YANGA.
Kibonde mwenzi (Simba) nataka nimfanye vibaya kama nilivyo fanya tarehe 22/9/2013.