Live update: Simba SC va Azam FC

Live update: Simba SC va Azam FC

Waheshimiwa, Makoye Matale, Mandieta, Account Full, Wabheja Sana, Watu8, bila kumsahau Babav, Munaombwa musisahau kuja na vifaa vya kupikia. Mwenye uwezo wa Sifuria, Jiko kubwa la kuokea nyama, Mkaa , Chumvi, ndimu, bila kusahu piripiri. Nimejiandaa kumchinja mnyama hivyo naahidi Waheshimiwa mutatafuna nyama mpaka muvimbirwe.
 
Simba wanatisha aisee, walipigwa goli 3 na timu ya wananchi wakazichomoa zote, wakaenda Tanga wakapigwa goli 0 na wagosi wa kaya, wakachomoa kwa kuwapiga hiyo hiyo 0. Leo nawatakia uchomoaji mwema wa idadi yoyote ya goli watakazopigwa ili gemu liishe kwa suluhu au sare. CC. Kitoabu (Ombi lako kwenye mechi ya watani lahusika).
 
Last edited by a moderator:
Waheshimiwa, Makoye Matale,
Mandieta, Account Full, Wabheja Sana, Watu8, bila kumsahau Babav,
Munaombwa musisahau kuja na vifaa vya kupikia. Mwenye uwezo wa Sifuria,
Jiko kubwa la kuokea nyama, Mkaa , Chumvi, ndimu, bila kusahu piripiri.
Nimejiandaa kumchinja mnyama hivyo naahidi Waheshimiwa mutatafuna nyama
mpaka muvimbirwe.

mimi leo naomba droo, kuanzia taifa had sokoine, mkishinda sio mbaya ingawa sitafurahi, ila msifungwe tu!
 
Simba wanatisha aisee, walipigwa goli 3 na timu ya wananchi wakazichomoa zote, wakaenda Tanga wakapigwa goli 0 na wagosi wa kaya, wakachomoa kwa kuwapiga hiyo hiyo 0. Leo nawatakia uchomoaji mwema wa idadi yoyote ya goli watakazopigwa ili gemu liishe kwa suluhu au sare. CC. Kitoabu (Ombi lako kwenye mechi ya watani lahusika).

naona leo itakuwa kama kawa, vijana waliozoea kucheza na la libolo la Angola.
 
kama ushaisikiza MDUDU yake solo thang ndo utajua kuwa yule mdudu leo ndo anampitia simba!
 
Basi Usisahau kuja na kiroba /mfuko, tuje tugawane nyama.
Simba wanatisha aisee, walipigwa goli 3 na timu ya wananchi wakazichomoa zote, wakaenda Tanga wakapigwa goli 0 na wagosi wa kaya, wakachomoa kwa kuwapiga hiyo hiyo 0. Leo nawatakia uchomoaji mwema wa idadi yoyote ya goli watakazopigwa ili gemu liishe kwa suluhu au sare. CC. Kitoabu (Ombi lako kwenye mechi ya watani lahusika).
 
Ukitaka umshinde mnyama.................(wahi kumkata MKIA)
 
TBC1 wameanza kurusha matangazo ya mpira hewani.
 
Timu ndo zinaingia uwanjani.
Simba kavaa Jezi nyekundu yenye michirizi ya rangi nyeupe.
Azam kavaa Jezi nyeusi yenye michirizi ya rangi nyeupe na nyekundu.
 
Back
Top Bottom