Kuteleza-si-Kuanguka; tunasonga mbele.
simba huyu sijui msimu huu kama hatujaishia nafasi ile ile ya mwaka jana
Umepanick bro!wewe umelewa
2 kwa 1 ndo vibaya sana?
Hakuna kitu kama hicho.Tuna tangaza ubingwa kabla round ya pili haija anza
Vipi, kocha Kibadeni hajaongelea juu ya kuhujumiwa kama alivyosema siku ya mchezo uliopita wa Yanga!?Mpira umekwisha.
Simba 1 - 2 Azam. Mia
hahahahha duu eeeti bahati mbaya?kimenuka nini mkuu? Leo bahati mbaya tu
dah, wazee wa ushindi wa kusawazisha leo poleni, ilikua bado goli 1 mshinde tena(Simba)
2 kwa 1 ndo vibaya sana?