2hery
JF-Expert Member
- May 27, 2011
- 4,700
- 4,630
azam wanakaa na mpira lakin hawana mashambulizi ya maana
mpira upi mkuu.
azam wanakaa na mpira lakin hawana mashambulizi ya maana
Watafika aisee, wamezoea kuchomoa sasa leo wamechomeka, Azam ana ubavu wa kuchomoa? Subiri tuone.
azam wanakaa na mpira lakin hawana mashambulizi ya maana
Kazi hiyo aliiweza Yahya Hossein tu.
Mkuu, kiswahili fasaha, ni kurudisha sio kuchomoa.
Aaaah, acha kabisa wanatisha !! yaani sijapata kuona! Katambuga social club mpaka leo kashindwa kuchomoa 5 - 0 ! alizochomekwa na Simba! kabaki kuweweseka!
mabeki wa simba wamezembea kuokoa mpira wa klosi ya chini