Live: Update mkutano wa DR magufuli -Singida Mjini

Kuna matusi mengine CCM wanadhani wanatukana Chadema kumbe wanatukana wananchi...Kusema Halima Mdee si mwanamke mpaka aende labour, ni kuwatukana wagumba wote kuwa si wanawake! Namsahangaa Wema Sepetu kupigia kampeni CCM ilhali anatukanwa kwa ugumba!

Uzuri wanawake wengine japokuwa hawajazaa lakini sio wasagaji.
 
okoa twiga kusafirishwa, uonevu kwa wastaafu, makato makubwa ya kodi kwenye mishahara ya wafanyakazi, ajira za upendeleo, katiba ya chenge na sitta, vyeo vya kulipana fadhila, meno ya tembo, gesi, madini na rasilimali nyinginezo, kwa kuikataa ccm.

Ccm ni lazima iondoke sasa.
 
Okoa twiga kusafirishwa, uonevu kwa wastaafu, makato makubwa ya kodi kwenye mishahara ya wafanyakazi, ajira za upendeleo, katiba ya chenge na sitta, vyeo vya kulipana fadhila, meno ya tembo, gesi, madini na rasilimali nyinginezo, kwa kuikataa ccm.

Ccm ni lazima iondoke sasa.
 
Comments 82 kwa 259 na comments hizo 81 nusu ni negative. Magufuli kazi anayo kama vipi toroka uje.
 
Halima Mdee ati haijui Labour Teh!
 
Ndugu Fisadi natumaini bado ujakutwa na ban ya modsccm..

Tunatarajia Exclusive uzi Utakao tupa uozo wa mgombea mwenza wa sisiM..

#babaukawa
 

Dah. Asante Mkuu Kwa Kutujuza.
 
Magufuli keshakata tamaa mzee wa watu. kaliachia genge la wahuni wamwage matusi tu
 

Nido sera za kiongozi wenu haha
 
Hivi kuna la UKWELI hata MOJA hapo?
 

Sina cha kujibu ila nimetaka ibaki kwenye reference zangu
 
Fisiemu wanapenda kuchochea mambo za udini sana, hawamalizi mkutano bila kutaja ishu ya ulutheri
 
Mkuu hapo kwenye red wee acha tu, hata mimi lilinikosakosa kidogo mkuu!! Miaka ile ya 2011
 
Fisi m kamezidiwa,tusi ya nini?utadhani wao ni chama cha upinzani!
 
Updates za mikutano ya ukawa huwa ni picha nyingi maneno machache
 
Mkuu hapo kwenye red wee acha tu, hata mimi lilinikosakosa kidogo mkuu!! Miaka ile ya 2011

Vijana wametafuna sana huyu mama.. Mkuu ungetafuna tu kwanini mlimkosa. Eti sasahivi ndiye awe Makamo wa Rais, thubutuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…