Live TBC1: Mawaziri wanaapishwa

Live TBC1: Mawaziri wanaapishwa

na wale Mabaunsa wa Bilicanaz ndo wangekuwa Security Officers, Tanzania Daima ndo lingekuwa Gazeti la Serikali. Mtei angekuwa Baba wa Taifa.

duuuu....Lema angekuwa waziri wa mambo ya ndani au mkuu wa usalama wa taifa. Angeiba magari yote mazuri.
 
Ina maana kwako Degree ya Kufoji ni Bora kuliko Diploma Halisi? Msalimie Augustine au Hamimu inategemea Mlikutana wakati anatumia jina gani?
Nashukuru kwa ujumbe wako Elimu Tanzania inahitaji mabadiliko. Ukifanya mabadiliko kwenye sekta nyeti ya elimu lazima uweke reformist minister/deputy minister ili aweze kuleta changamoto na kuisogeza elimu iliyo mahututi. Kumbuka kwa nchi yetu naibu waziri anafanya kazi kuliko waziri maana mawaziri wanasafiri sana. Jenista hataleta impact yeyote pale wizarani. Tunahitaji mtu mwenye kufikiri na anayefahamu Elimu ni nini. Kumbuka wizara ya Elimu katibu mkuu ni mwanasheria, waziri engineer, naibu waziri diploma ya ualimu naamini Hajui hata education reforms nini. Ndiyo maana nilisema ni sawa na kutoa malango na kuweka pazia kuzuia mwezi
 
Cha ajabu wakikiuka viapo vyao hakuna hatua wanayochukuliwa!

Hii awamu bora ipite![/QUOTE

Mwalimu Nyerere alisema wataapa ili wakikiuka viapo vyao tuweze kuwahukumu. Ila Tangu enzi hizo sijui ni nani kahukumiwa baada ya kiapo na kulinda na kutetea
 
Wanawake mna kazi kweli, kuna wakati unaweza kuheshiwa ukiwa single woman kuliko kumtambulisha mshamba kama huyu eti ndio mume wako!
Tabia zako za kuolewa na kuachika halafu kuzaa watoto wengi kila mmoja na baba yake ndio inakufanya uwe hivi
 
bora muhongo, jenista wakati anakula kiapo amepatwa na stuckness, kaanza kusoma kiapo cha pili badala ya kile cha kwanza then cha pili: Yaleyale ya muhongo na tanganyika na zimbabwe kuungana kuform tanzania

Kaanza kuonyesha udhaifu mapema kabisa!

Huko mbele sijui itakuwaje?!
 
Hivi Salary Slip wewe uko chama gani? CHADEMA au CCM? Ulifanya niamini kama ulikuwa CDM vile?

Now, I am confused!!! Au ni adui from within!

Kuwa mwana CCM kijana kama mimi leo ni fedheha kuliko fedheha ya kujinyonga na kisha kusalimika!
 
Hivi Salary Slip wewe uko chama gani? CHADEMA au CCM? Ulifanya niamini kama ulikuwa CDM vile? Now, I am confused!!! Au ni adui from within!
Kuwa mwana CCM kijana kama mimi leo ni fedheha kuliko fedheha ya kujaribu kujinyonga na kisha kusalimika!
 
Hivi kiapo chenu cha "sintatoa siri za baraza la mawaziti" huwa mna maana gani? Hizo ni siri gani wakati mko pale kutuhudumia.
 
Wanachaguliwa na Majority ili awatumikie majority LAKINI wanafaidika Minority kwa maslahi ya minority ... Siri za Wananchi zimegeuzwa za wateule!!! Ifike mahala wajue kuwa wameajiriwa na Watanzania kwa maslahi ya Watanzania ...
 
Back
Top Bottom