Live TBC1: Mawaziri wanaapishwa

Live TBC1: Mawaziri wanaapishwa

Natamani hizi biblia takatifu na quruan tukufu zingekuwa zinawaunguza wizi uzandiki, na uchawiuchawi ndio siasa za afrika walaaniwe wote wanaovitia vitabu vya mungu unajisi.

Mkuu lyinga mbona zinawaunguza sana!!

Hawaishi kuumwa maradhi ya ajabu ..Pamoja na kutibiwa hospital za gharama bado wana-zawadiwa vifo vya mateso..
 
Last edited by a moderator:
Iwapo Dr.SLAA ndo angekuwa Rais, hapo ungesikia majina ya mawaziri kama, josephine , joyce mukya, kileo, yericko, ben masumu, lema, mbowe, mnyika,sugu.

na wale Mabaunsa wa Bilicanaz ndo wangekuwa Security Officers, Tanzania Daima ndo lingekuwa Gazeti la Serikali. Mtei angekuwa Baba wa Taifa.
 
wizara ya elimu ni sawa na kutoa mlango na kuweka pazia ili kuzuia wezi. Inaudhi kwa elimu yetu.

bora muhongo, jenista wakati anakula kiapo amepatwa na stuckness, kaanza kusoma kiapo cha pili badala ya kile cha kwanza then cha pili: Yaleyale ya muhongo na tanganyika na zimbabwe kuungana kuform tanzania
 
we weee kijana wewe hivi ni MUHONGO au yuke kilaza MULUGO ndio alichanganya madesa
 
Wizara ya elimu ni sawa na Kutoa mlango na kuweka pazia ili kuzuia wezi. Inaudhi kwa elimu yetu.

Ina maana kwako Degree ya Kufoji ni Bora kuliko Diploma Halisi? Msalimie Augustine au Hamimu inategemea Mlikutana wakati anatumia jina gani?
 
bora muhongo, jenista wakati anakula kiapo amepatwa na stuckness, kaanza kusoma kiapo cha pili badala ya kile cha kwanza then cha pili: Yaleyale ya muhongo na tanganyika na zimbabwe kuungana kuform tanzania

Muhongo....? or Mlugo....asee..
 
Iwapo Dr.SLAA ndo angekuwa Rais, hapo ungesikia majina ya mawaziri kama, josephine , joyce mukya, kileo, yericko, ben masumu, lema, mbowe, mnyika,sugu.

ulitaka awape kina nani hasa!!!!!!!!!!!
 
Hivi Salary Slip wewe uko chama gani? CHADEMA au CCM? Ulifanya niamini kama ulikuwa CDM vile?

Now, I am confused!!! Au ni adui from within!
 
Hivi Salary Slip wewe uko chama gani? CHADEMA au CCM? Ulifanya niamini kama ulikuwa CDM vile?

Now, I am confused!!! Au ni adui from within!

Toa ujinga wako hapa, nani kakwambia JF ni ya CCM na Chadema?
 
Back
Top Bottom