Live stream: Yanga vs Zamaleki

Zamalek 3 yanga 1

mkuu kumbuka kuna wanaofuatilia huu mpira so sio vizuri kuwapotosha watu. hii ni jamiiforums sio facebook. unapokuwa kwenye mtandao unao heshimika jiheshimu na wewe, sio lazima uchangie.
Mpira ni half time na yanga wanaongoza goli moja na zamalek hawajapata kitu.
 
Jarbu kuwa mstaarabu bc wengine tunaatilia mpira huu kupitia JF kihalisia kbc sasa ukileta utani inakuwa co poa...nahc ww ni km bata ila naomba kwa leo usiharishe mbele ya wageni(usiharibu thread)
Zamalek 3 yanga 1
 
Yanga wamekosa magoli mengi ya wazi.This is not good for them.They have to win big since no one knows how the return leg will turn out in Egypt.
 
chuji kama asipopunguza buti mbele ya goli anaweza akasababisha faulo.
 
zamalek wanapata goli kupitia kwa amur zaki.
YANGA 1 - 1 ZAMALEK
 
Mpira kwisha Taifa Yanga 1 na Zamalek 1.

Vipi jamani Mnyama? Je kaunguruma Kigali?
 
Back
Top Bottom