Saa 1 usiku mpaka saa ngapi?View attachment 105205
1:00 USIKU leo alhamisi Usikose kuangalia kipindi kipya kabisa cha UZALENDO kikuhusu mambo yanayojiri katika medani ya siasa nchini na waalikwa wakiwa wanasiasa kutoka vyama tofauti wakichambua hoja mbalimbali kuhusiana na hali inavyoendelea nchini.Katika kipindi cha leo tutakuwa na Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Bwana Philp Mangula na Katibu Mkuu wa Chadema,Dk.Wilbroad Slaa
Wakuu hicho ni kipindi kipya kitakuwa kinarushwa kila Alhamisi kupitia ITV.
Kwa kuanzia leo kitakuwa hewani na Dr.Slaa na Mangula watakuwepo.
Please wadau wote mnakaribishwa kutazama na wengine kuleta updates hapa hapa JF.
Wakuu hicho ni kipindi kipya kitakuwa kinarushwa kila Alhamisi kupitia ITV.
Kwa kuanzia leo kitakuwa hewani na Dr.Slaa na Mangula watakuwepo.
Please wadau wote mnakaribishwa kutazama na wengine kuleta updates hapa hapa JF.
..umeanza kuogopa,mlipokuwa mnampa madaraka hamkuyajua hayo,,??? koroshodani zako...slaa anafaa kukutana na mwigulu nchemba! mangula ongea yake imekaa kistaarabu sana. slaa hana ustaarabu. anafaa mtu mwenye pini za nguvu kama nchemba
Mods kama hii taarifa ni sahihi basi neno ITV liongezwe kwenye heading (title ya hii thread)
..umeanza kuogopa,mlipokuwa mnampa madaraka hamkuyajua hayo,,??? koroshodani zako...
amakyasya; Bila shaka mleta mada alighafirika kidogo,lakini ni mtu mzuri sana.
mangula ni mzuri kwa mipango na mikakati upande wa utawala. majibizano ya kumfanya slaa aheme, hayawezi. slaa naye mijadala haiwezi vizuri. ni kama mbowe. wanaweza uongo wa majukwaani. studio hakuna propaganda kama za jukwaani
Saa 1 usiku mpaka saa ngapi?
...mkuuu scramble acha kumuaibisha mwenyekiti wako bhana, kumbuka mdahalo wa 2010 alisepa,kila juhudi za kumshawishi akae meza moja na Dr zikashindikana maana angekubali tu angegonga pua chini tu....teh teheee..
chanel gani???
Hivi ule mpango wa Chadema TV umeishia wapi au pesa yote imekwenda kujenga Hekalu kawe.Saa 9 usiku!!!!!
Hivi ule mpango wa Chadema TV umeishia wapi au pesa yote imekwenda kujenga Hekalu kawe.