fikirikwanza
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 7,452
- 3,073
Mbona Ddr huwa anatoa midahalo live hapa hapa tu kwa kujibu coments za watu?
Dr ni mwanasiasa mzuri sana tatizo Dj kambadili kabisa, Ddr wa leo sio yule tuliezoea kumuona akiwa kinara bungeni, amekuwa kama Llema tu
Dah! inasikitisha sana. Ndio maana tunaona kila mikutano na maandamano yao vita haziishi. Huyu Mzee na wafuasi (misukule) wake ni hatari sana kwa amani ya Taifa.
chanel gani???
kwa muumini yoyote wa dini sio vizuri kumwita mwenzio msukule wote tumeubwa kwa mfano wa MUNGU.zaidi nimeona sura yako kwenye ID yako sidhani kama dini yako inahitaji kuita wafuasi wa kiongozi msukule.ila kama ungekuwa na hoja ungejenga hoja kuliko kutusi
samahani, hakuwahi kuwa mbunge wa ccm, huyo usalama alikuwa naye akiwa cdm. Hebu rekebisha kable ritz hajakulima.
Mimi sigombani na wewe Kamanda. Dr Slaa alipotaka kugombea ubunge kupitia CCM Jina lake lilikatwa kwa mizengwe. Ndipo watu wa jimbo lake walipomfuata na kumuomba agombee kupitia Chama kingine. Na Dk akaamua kupitia CHADEMA. Soma kitabu cha historia yake. Sio kwamba nataka kukunyongonyesha. Sisi sote huwa tunaendelea kujifunza na kusoma kila siku. Ila nimeipenda sana mada yako. hii ni kasoro ndogo sana, lakini inaweza kuharibu utamu.unaishi nchi gani wewe?
Dr Slaa Ni akili kubwa na maccm Ni akili ndogo. IQ ya Dr Slaa Ni kubwa kuliko IQ za wajumbe wote wa sekretarieti ya CCM zikichanganywa. Kwa minajiri hii hakuna mwanaccm yeyote wa kusimama na Dr Slaa jukwaani au katika mdahalo. Only umburula wetu watanzania umetufanya tushindwe kugundua hazina iliyopo kwa Dr Slaa. Hebu fikiria kama tungemchagua kuwa rais 2010 na akashusha bei ya cement hadi shs 5000, akina Lumumba buku Saba na watanzania wengine wangekaa kwenye nyumba za tembe?
View attachment 105205
1:00 USIKU leo alhamisi Usikose kuangalia kipindi kipya kabisa cha UZALENDO kikuhusu mambo yanayojiri katika medani ya siasa nchini na waalikwa wakiwa wanasiasa kutoka vyama tofauti wakichambua hoja mbalimbali kuhusiana na hali inavyoendelea nchini.
Katika kipindi cha leo tutakuwa na Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Bwana Philp Mangula na Katibu Mkuu wa Chadema, Dk.Wilbroad Slaa
Kipindi ni kizuri lakini muda hautoshi kabisa.Marudiooooo lini?
Hivi wewe Mbowe na Lema walikufanya nini? Mbona umejaa mahaba nao sana?
Taarifa yako haijakamilika, hicho kipindi kinarushwa TV gani?