What else can you do to help these empty-headed souls?Just knocking some senses into their stupid heads
Mangula kachoka mpaka kauli
you might also be empty-headed without recognizing yourself. bavichaism has made most youth reluctant to conduct significant researches on key national issues! it has made them resort to writing no sense! shame on you bavicha!
Slaa hana akili ya kujibu
swari kama hilo chadema yote ni zito pekee yake ndiyo anaweza kujibu
swali hilo.
kipindi ndiyo kimeanza,
tutoe michango ya kukiboresha. Mimi naanza kama ifutavyo: (1) nashauri
mwendesha kipindi asitenganishe wahusika wakati wa kurusha kipoindi. (2)
kuwe na vipaunbele ambavyo wahusika wanatakiwa kuvitolea ufafanuzi na
siyo kwenda randomly kama leo (3) naomba watu wa kukutanisha wawe wa
level(ngazi) moja kichama, kama vile makatibu, wenyeviti, makamu
wenyeviti, makatibu wenezi, manaibu katibu, n.k, ili kupima mambo
yanayowiana Huo ni ushauri wangu tu!
Mbona slaa alikuwa anaongea kama anakimbizwa alikuwa anahofu nini sasa.
Najua kuwa unamtumikia slaa na humpendi zito lakini kaa ukijua zito ni kichwa zaidi ya babu.
hv ni kwa nini chadema huwa mnapenda kutukana kuliko kujibu hoja, au ndiyo akili ya viroba na bangi inavyowatuma.
Jichagulie tusi mwenyewe ambalo linakufaa.kubwa zima hovyoooooooo!?
zitto ni habari nyingine! kiuwezo anamzidi kwa mbali slaa.
Wewe ndo mkata nyasi au ndiye mhudumu wa ndani hebu jipambanue zaidi.umeshakwenda tuition???
Ben saanane alikushauri ujifunze kuandika kiswahili kwanza! Remember???
Utapingana na ukweli japo roho inakuuma!nina heshimu ulichosema kwa kuwa ni maoni yako BINAFSI lakini haimaanishi kuwa ni UKWELI.!
Utapingana na ukweli japo roho inakuuma!
huu uzi umepoteza maana kabisa , haujaupdate chochote kutoka kwenye kipindi kuwasaidia wale wasiokuwa na access ya TV. mjifunze kuupdate vitu na siyo kushambuliana muda wote tu.
mkuuu hapo umeongea me
nipo huku Ngara polini ,nafuatilia Jf. naona kushambuliana tu ,no any
updates
mkuuu hapo umeongea me nipo huku Ngara polini ,nafuatilia Jf. naona kushambuliana tu ,no any updates
umeshakwenda tuition???
Ben saanane alikushauri ujifunze kuandika kiswahili kwanza! Remember???