LIVE: Nini kinatokea Ufaransa!? Mapinduzi ?

Hahaha unahitajika central kesho asubuhi
 
Umesahau kuwa yana fanana na ya ile nchi ambayo kiongozi wake baada ya kumaliza uongozi wake hapa Duniani Ataenda kuongoza malaika huko MBINGUNI!!
 
Eti wasafi FM haahhahahaa we jamaa [emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23] mkuu umewaza nn
Kiongozi ukiangalia sasa siogop uarabuni, mashariki ya mbali, ulaya na America wanapata tabu sana Mungu analipiza.

Mara huku watoto wao wanatwangana risasi darasani na mitaani, mara wameruhusu ushoga, mara ugumu wa maisha mara vimbunga vya majina yake ajabu ajabu,ubaguzi wa watu weusi etc.

Wacha shuruba hiyo waipate tu hakuna namna kutesa kwa zamu.
 
Nakubaliana na ww 100%, alaf eti wameweka vikwazo Iran vya kuuza mafuta, wanamfuata MMAREKANI, sasa ivi mafuta yamepanda miongoni mwa sababu ni kuekewa vikwazo nchi kama Iran kama utachunguza kiundani.
 
Nikweli kabisa kiongozi
 
Kiwake tuu nao walau wasikie ladha ya hizi shida wanaziwaanzishia wemzao.
Hizi taarifa ukizitaka kwa uweledi zaid ingia RT Russia Today yaani utapata kila kitu haswa mabaya yanayotokea na yanayotarajiwa kutokea
 
NIKO NA RT MKONO KWA MKO HAWAFICHI KITU MKUU [emoji23][emoji23]
 
Nakubaliana na ww 100%, alaf eti wameweka vikwazo Iran vya kuuza mafuta, wanamfuata MMAREKANI, sasa ivi mafuta yamepanda miongoni mwa sababu ni kuekewa vikwazo nchi kama Iran kama utachunguza kiundani.
Duh na chanzo cha kupanda kwa mafuta wana kijuwa!
Tume wazidi ustarabu na uvumilivu leo ninaona hapa yana uzwa 2,439lt wandamane wachome kila kitu labda itasaidia huku kupungua bei!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] fundi25
Malipo ni hapa hapa duniani, nafkiri akili zao zitakaa sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…