Live Ndani Ya Bongo Radio

Status
Not open for further replies.
Mazee, leo jioni utakuwa ndani ya studio kutwanga ma-oldies?

Mazee QM nilikuwa sijaingia hapa, unajua toka mwaka umeanza nilikuwa najaribu kuweka ratiba sawa kwa hiyo sijaweza kufanya kile kipindi cha old school kwa sasa, lakini nitawafahamisha punde ni lini kitarudi hewani ili wote mburudike.
 
Niko LIVE tune IN upate mambo na ukiwa na request weka hapa.
 
Lemme see kama ninao Kelly, hahahaha Mzee Nyani sasa unachelewa nini Kuja Chi-Town KUMBE umeshatandikiwa Red Carpet na bibie Kelly.


Kama unao itakuwa very alright!....hahahaha!mmh huko miye sipo alafu unakosea kulitamka jina lake...wee unaweka accent LOL!..

kAMA Huna wa uncle charlie what about "Colletion ya "THE DARKNESS"...
 
Mambo ya shai, Htown, jodeci, silk, boyz to men na wengineo.
Watu wanataka kuianza Friday mapemaaa kuondoa baridi.
 
Mambo ya shai, Htown, jodeci, silk, boyz to men na wengineo.
Watu wanataka kuianza Friday mapemaaa kuondoa baridi.

hahahaha Pouwaa Mazee YE ngoja nakutafutia kitu hapa maana Nyani ameshaombewa na Kelly.
 
Mazee haya mambo ya pwani ni balaa....
samaki analiwa mezani!
 
Kijakazi unaona Nyani Ngabu anaombewa wimbo....

------------------------------

Kelly nami niombee basi wimbo mmoja...

--------------------------
GQ, wadau wa Mysore ndani ya nyumba!
 
Kijakazi unaona Nyani Ngabu anaombewa wimbo....

------------------------------

Kelly nami niombee basi wimbo mmoja...

--------------------------
GQ, wadau wa Mysore ndani ya nyumba!

Karibu Karibu sana Mzee SteveD, mambo vipi?
 
GQ, duuuh.... kweli unapenda haki mazee. Naona umeona bora kuwalima mafisadi live ndani ya BongoRadio....
 
YNIM ndani ya nyumba pia!!!

--- mkuu mimi nasikilizia toka Shikomelo (unakikumbuka kisiwa hiki lakini wewe au huku haujafika.. ni karibu na Busisi, panda pantoni tu pale Shigongo....lol)
 
GQ, duuuh.... kweli unapenda haki mazee. Naona umeona bora kuwalima mafisadi live ndani ya BongoRadio....

Mazee hivi ndio vipazia sauti inabidi tuvitumie, ndio nyenzo zetu hizi mazee. Tunawalima tu LIVE.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom