Live Ndani Ya Bongo Radio

Status
Not open for further replies.
Wazee wote ahsanteni sana kwa kuwa nami it was hot !! Bomba sana wiki ijayo tena.
 
1229696490deedrink.jpg
 
Geeque nani yupo studio mbona nyimbo haziishi anapiga nusunusu, Anatukata stimu. Please unaweza kumuweka Keisher tena
 
Mazee Geeque ebu sema basi siku gani kutakuwa na old school this long weekend inayokuja ili watu tupate mambo ya zamani?? I'm talking Silent morning, Should I Say yes, Roses are Red Violets are blue kinda songs!!!!
 
Hofstede,
Nadhani siku unayoizungumzia kulikuwa na LIVE DJ's ambao walikuwa wanafanya mixing kwa hiyo wakawa hawamalizii nyimbo na kuzikatisha na kupandishia nyingine, hakuna noma nitaongea nao ili waziachie hadi ziwe zinakaribia mwisho, samahani kwa usumbufu.

Moelex na wengine wote,
Kutakuwa na Old School Show Nyingine hii Ijumaa tarehe 12/26/08 baada ya Xmas kuanzia saa moja usiku (7pm CST til 9pm) Ndani ya Bongo Radio. Mnaweza kuweka hata requests hapa in advance.
 
Mchango au swali, hivi hii radio ipo inasikika mpaka bongo na jee inapatikana kwenye channel gani! Kama bado ingekuwa bomba sana ikiwezekana kufanyika hivyo. Maana inakuwa tamu sana mpaka yule bibi yangu wa kibololoni akitune ananikuta hewani namwagia salamz tuu toka majuu. Nipigie ule wimbo wa dunia tunapitaa (Samba mapangala)
 
Mchango au swali, hivi hii radio ipo inasikika mpaka bongo na jee inapatikana kwenye channel gani! Kama bado ingekuwa bomba sana ikiwezekana kufanyika hivyo. Maana inakuwa tamu sana mpaka yule bibi yangu wa kibololoni akitune ananikuta hewani namwagia salamz tuu toka majuu. Nipigie ule wimbo wa dunia tunapitaa (Samba mapangala)

Lorain,
Mambo vipi? nafurahi kuona nawe ni mmoja wa wapenzi wa Bongo Radio na tutaendelea kuhakikisha unaburudishwa vilivyo kila siku. Kwa hivi sasa hii radio inapatikana mtandaoni tu lakini mipango iko mbioni kuweza kusikika huko nyumbani kwenye FM stations au kwenye kituo chake binafsi. Kwa hivi sasa siko studio lakini nitafikisha ombi lako la wimbo kwa DJ aliyeko hewani hivi sasa. Endelea kupata burudani murua kabisa. Ahsante.
 
Bongo Radio would like to wish each and everyone one of you a Merry Christmas and a very Happy New Year 2009.

In celebrating this Holiday Season, Bongo Radio will host a LIVE Christmas Special on Thursday, 25th of Dec, 2008 (Christmas DAY) with LIVE DJ's spinning all the hottest hits in Bongo Flava, Bongo Dance, Genge, Reggae, Soukous, Hip Hop, R&B, Kwaito, Zouk, Old School and African Music. It's going to be one of the Hottest Show of the Year 2008.

The Schedule is as follows:
12:00 noon til 2:00pm :: Geeque and Dinah will be LIVE on Air, Salaam Special CALL LIVE to give your Christmas Shout Out at 312 957 6014

2:00pm til 4:00pm :: DJ Dennis reppin FunkHouse Mixes will be Spinnin LIVE.

4:00pm til 6:00pm :: U-1 Entertainment will host a Basement Christmas Party LIVE on Air.

6pm til 8:00pm :: SAMCHOM in the Mix with Babalao Records DJ's will be LIVE on Air.

Thank You,
KARIBUNI WOTE
 
Nyani leo hutumi salamu?
Kuna mabingwa wenzako wakina Fambo wa Fambo,Mama Suzy Ngodoke kwa kifupi wasukuma wanapenda kutuma salamu redioni,na unamkuta kaweka sauti mpaka mwisho ajiskie.
 
Nyani leo hutumi salamu?
Kuna mabingwa wenzako wakina Fambo wa Fambo,Mama Suzy Ngodoke kwa kifupi wasukuma wanapenda kutuma salamu redioni,na unamkuta kaweka sauti mpaka mwisho ajiskie.

Napenda kumtumia salamu Kelly01 akiwa pale Chi Town....
 
Napenda kuwatumia salamu binamu yangu Bundala Shija akiwa pale Kisesa, bila kumsahau Mahulu Sayi akiwa pale Ng'wasele, Shinyanga, na bila kumsahau Kilalo Misoji akiwa pale Bariadi mjini sokoni...
 
GeeQue Mkulu Eeeee!! Nakupata chicha sana huku nyanda za juu kusini mitaa ya kati....nina request moja tafadhali....nimemwambia shemeji yako hapa kuwa nina hamu sana na maamri...ningependelea sana unitaarifu ni lini utatuekea rusha roho....'I mean ol' skul vidole juu' ili nishushie na maamri yangu hapa.

Tafadhali nistue kwenye PM ili niweze kutune in mkulu GeeQue....!!!
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom