mshikachuma
JF-Expert Member
- Dec 2, 2010
- 2,853
- 626
- Thread starter
-
- #101
Nasikia Nape akiwa amelala usingizi anaweweseka kwa kuiota CDM....Chadema inawakondesha viongozi wa ccmNi flat kama soda na bia iliyoharibika i.e no gas ya kutosha!!!! Ukinywa unavimbia tumbo!!! Yaani kweli Nape na SSM wanaiogopa M4C!!! Ha ha ha
Ni flat kama soda na bia iliyoharibika i.e no gas ya kutosha!!!! Ukinywa unavimbia tumbo!!! Yaani kweli Nape na SSM wanaiogopa M4C!!! Ha ha ha
Nasikia Nape akiwa amelala usingizi anaweweseka kwa kuiota CDM....Chadema inawakondesha viongozi wa ccm
Mkuu Nape anakutoa Povu ki noma....Naona jina lake halikauki mdomoni kwako hahahaha Nnauye Jr. Mkuu weee ndio kiboko yao si unaona unavyowatoa Povu
Nape anazo baadhi ya funguo za ukombozi wa nchi hii...........kauli zake!!
Desi Mangola, Nape sijawahi hata kumthamini hata chembe. Yaani yeye na mtoto wa Chekechea anayeanza kujifunza 3Ks mtoto atamshinda kwa arguments. Kwa mantiki hiyo Nape si size yangu!! Ninamdharau kuliko....... jaza mwenyewe. Sitaki kifungo cha JF.
Huyo mwendesha kipindi alipata Division 4 Form 4. No wonder ameshindwa kuongoza kipindi kiakili na badala yake anaanza kuongelea mambo yasiyo na uhusiano kabisa na mada kuu. Amepata wageni wazuri ila yeye mwenyewe kilaza wa kutupwa. Kipindi kama hicho alitakiwa apewe Jenerali Ulimwengu. Watu wengine bwana.
Mkuu, acha kujichetua akili! nakuhakikishia ccm ni lazima izikwe tu! kwanini unabishana na ukuta?Hahahaha mkuu na ndoto zako za Abunuasi naona umeamua kuwa kioja kushabikia Movement for Chaga ni sawa kabisa na mtu aliyerukwa na akili......na bado kidogo tu utajua namaanisha nn
Hujawai kumthamini kivipi mkuu? Wakati tangu Bandiko limebandikwa hakukauki mdomoni hahahaha kadanganyane na watoto wenzako....
Desi Mangola, now days hata shetani anaigopa ccm! shtuka mkuu! things fall apart....amini maneno yangu ccmHujawai kumthamini kivipi mkuu? Wakati tangu Bandiko limebandikwa hakukauki mdomoni hahahaha kadanganyane na watoto wenzako....
Nape anazo baadhi ya funguo za ukombozi wa nchi hii...........kauli zake!!
Nikushauri kitu ndugu yangu; ungekuwa unapinga kwa hoja kwa kuandika yale Mrema anaongea sio wewe kumpinga kila mtu anayetoa comment juu ya kinachoendelea. Kama utaendelea hivi tunakuhesabu wewe mamluki tu.Pole kwa kujifariji na hadithi zako za Abunuasi hahahahaha