Live: Nape Nnauye,John Mrema,Benson Bana na Hemed Msabaha ndani ya EATV.

Mreme anamjibu siyo kweli ni propaganda tu....anasema hata CUF na NCCR mageuzi zilipokuwa na nguvu kipindi
kile walizushiwa mambo kama hayo

Thank you Sir/Madam. Nakumbuke election night mkuu wa polisi enzi hizo yule mguga majambazi alionyesha silaha za CUF za kugushi!!! Kweli SSM ni dhaifu na waoga. Why not just compete?
 
Msabaha anauliza Nape ni nani? who ar u by the way? Nape ni muongo
Na anastahili kushikwa na kuwekwa ndani kwa kutabiri mauaji ya morogoro na yakatokea kweli
 
Huyo mwendesha kipindi alipata Division 4 Form 4. No wonder ameshindwa kuongoza kipindi kiakili na badala yake anaanza kuongelea mambo yasiyo na uhusiano kabisa na mada kuu. Amepata wageni wazuri ila yeye mwenyewe kilaza wa kutupwa. Kipindi kama hicho alitakiwa apewe Jenerali Ulimwengu. Watu wengine bwana.

Sure mkuu. Hata mkuu wa kipindi huko EAT alitakiwa awe makini na kipindi hiki maana huu ni wakati critical sana kwa wananchi na siasa za Tanzania.
 
Mkuu
Mimi huwa siangalii kabisa hicho kipindi!

Too much make ups, hoja hakuna, sidhani hata kama huwa wanajisomea mambo mbalimbali kabla ya kurusha vipindi hivyo! Mtu anayeficha jicho moja kwa nywele sidhani kama huwa yuko serious sana!
Tatizo la kipindi hiki huyu muongozaji ni kilaza sana.....

Ukifuatilia misimamo yao nje ya vipindi ni kuwa sio wafuatiliaji wa siasa sana.....

Hamna kitu hapo!!
 
Msabaha anauliza Nape ni nani? who ar u by the way? Nape ni muongo
Na anastahili kushikwa na kuwekwa ndani kwa kutabiri mauaji ya morogoro na yakatokea kweli

Kumbe tunaposema SSM ni Chama Cha Maujai hatukosei? Leo kina Ritz mmesafiri? Zomba u wapi uke utusaidie kujibu hapa leo maana ngoma imewaelemea studio.
 
Nape....anasema alionya watu wasi hudhulie mikutano ya chadema. Jamaa wa NCCR..anasema Nape anapaswa ahojiwe na Polisi kuhusiana na kauli yake hiyo....kipundi kitamu kweli kweli
 
Eti Nape anasema CDM wanapokea misaada kutoka nje kwa makubaliani ya kuwauzia wazungu madini yote
milima yote,gesi yote na mbuga zote....na ushahidi anao
 
Muwakilishi wa CUF Bwana Msabaha anasema Nape ingetakiwa awe n m2 wa kwanza kukamatwa kutokana na mauaj ya morogoro kutokana na kauli zake kuwa kwenye mkutano wa CHADEMA kutatokea mauaji
 
Eti Nape anasema CDM wanapokea misaada kutoka nje kwa makubaliani ya kuwauzia wazungu madini yote
milima yote,gesi yote na mbuga zote....na ushahidi anao

Hivi Dar Hospital kama Milembe ipo? Kama haipo Nape awahishwe kwa Dr, mara moja!!!
 
John mrema anasema tutauza vipi nchi wakati hatuko madarakani?
Anasema ccm wamechanganyikiwa
 
Sasa huo ni mdahalo wa siasa au wa NAPE with Chadema. Mimi nilidhani wataongelea issue za siasa kwa mapana yake, kumbe wamekaa kunyoosheana vidole kama wanataarabu. Watu wengine bwana.

Nape kiboko yenu hahahahaha anawashughulishaje ona vilaza wa CHADOMO wanavyotokwa povu
 
Naomba Mola kipindi cha leo kimalizike kwa amani!!! Ila kwa kuwa Nape wenzake wanaomzunguka wana busara basi hali itakuwa swari. Nawaza hivi hapo angekuwepo Mwigulu Nchemba na Lusinde, meza zingwpasuliwa na kurushiana viti!! FFU sijui wangerusha bomu!!!
 
Nape anashindwa hoja, Mrema anamfunika.

Muongoza kipindi hayuko consistent! Kama haelewi mada vile!!!???
 
Nape kiboko yenu hahahahaha anawashughulishaje ona vilaza wa CHADOMO wanavyotokwa povu

Ha ha ha Nape wenu hana lolote na hana uwezo wa kuweza kuwa -challenge wale pale mezani. Anapayuka tu bila speed governor kama ilivyo kawaida yake. Wanamshambulia kama mpira wa kona.
 
nape anakwepa hoja na ameshindwa kabisa kujibu hoja.yake dhaifu ya cdm kupokea pesa kutoka nje. kifupi nape kachemka kabisa na haya ndio matokeo ya kuropoka. john mrema umenena vema mkuu big up!
 
Nape anashindwa hoja, Mrema anamfunika.

Muongoza kipindi hayuko consistent! Kama haelewi mada vile!!!???

Kawadanganye ambao hawana Tv huyu John Mrema anaonekana kama kikatoon tena aliyekremishwa chakusema.....ama kwa hakika uelewa wa huyu John Mrema ni 0
 
Back
Top Bottom