kmbwembwe
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 10,931
- 7,828
Japo nimekua naipa 5 cdm kwa kupigania utawala bora na kupambana na ufisadi nchini kwa ujasiri, sera yao ya majimbo na muungano ina ukakasi. cdm ikiingia madarakani bila shaka taifa la tanzania litasambaratika. ili kubeba kura za wanaccm asilia wanahitaji kuangalia upya sera yao ya majimbo na muungano