Live: Mansour Himid , Dk Slaa na Hassan Moyo

Live: Mansour Himid , Dk Slaa na Hassan Moyo

Hata viumbe wengine kama wanyama, wadudu huishi kulingana na mazingira sembuse BINADAMU,ndugu ukienda zanzibar salamu ni ASALAAM ALEYKUM,Ukiwa bara unaweza kutumia Tumsifu yesu kristu,bwana asifiwe,shikamoo nk,lakini ukienda rwanda au kongo hakikisha unajua walau bonjuor,sasa shida nini ukivaa kanzu au bhalakhashia??Elimu ni uwezo sio cheti ndugu WATANZANIA.
 
anasema yeye haitaki tena ccm. ataendelea kusema sana tena sana


ah ah ivi zanzibar hakuna wang'oa kucha wa magogoni? i can smell death, dn 2be ulimbokered just around the corner,
 
Miongoni mwa mambo aliyoyazungumza mansour Himid ni kuwa hatogombea uchaguzi mdogo, lakini atakuwa na wazanzibari kwa hili bega kwabega katika kuitafuta Zanzibar huru. Amesema pia
Wimbi la mageuzi Zanzibar ni kubwa mno na atakaejaribu kuogelea nao ahadhari na kupoteza maisha.
Mheshimiwa Mansoor Y Himida wakati akipanda kiririni kuzungumza na wazanzibar, waliohudhuria wampigia makofi na kumwita, Simba! simba! simba!.
Mansoor wakati wote alipokuwa akihutubia kwenye ukumbi wa Hoteli ya Bwawani, aliwaomba vijana kukataa kurubuniwa na utawala wa ccm na wahakikishe wanaipigania zanzibar yao huru.Mansoor mwishoni aliwaomba radhi wale wooote alowakosea kwa njia moja ama nyengine, kwani hakuna Binadamu alie mkamilifu, na amewataka Wazanzibari kushikamana na kukataa zile siasa za kutukanana kwani ndio inayowapelekea kuendelea kugawanywa. Wakati akizungumza katika kongamano hilo mheshimiwa
Jussa alisema yupo tayari kumuachia Jimbo la Mji Mkongwe kama anataka kugombania uwakilishi.
 
Kutakuwa na kongamano kubwa leo la kujadili zanzibar huru katika ukumbi wa salama bwawani.
Kuna tetesi kubwa kwamba Dk Slaa atakuwepo katika kongamano hilo

mansour.jpg
807915.jpg


dk slaa akiwa zanzibar

live: MazruiMediaLive on USTREAM: We are broadcasting live from MazruiMedia Studio!. Local News


SLAA! duh! kasahau kufunga msalaba kifuani!! Kibaraka shehe cha nini?
 
unaweza ukawa na hoja ya msingi, lakini kitendo chako cha kuweka picha ya dr w slaa ya kampeni za mwaka 2010 alipokuwa ameumia mkono....zinanifanya nitilie shaka habari nzima.

So far what is common between the three?

huyo ndugu limau alileta habari yake ya uongo humu kumhusu slaa , ndiyo akachakachua hiyo picha , hata hivyo akala za uso !
 
Tatizo la ccm ni kulazimisha kuwa waasisi hawajawahi kukosea.
Wakati kwa hili la muungano nyerere alichemka.
 
sasa subirini cdm ichukue jimbo zanzibar , lumumba itabaki mdomo wazi !
 
Ni mtu mjinga pekee yake anayeweza kuponda vazi la mtu au kabila au dini ya mtu. Ukimwona mtu wa namna hiyo msikilize, kasha umdharau. Ponda matendo ya mtu.

Mkiwa bara mnaponda kofia Mkiwa znz mnavaa balagashia jinsi anavyoonekana huwezi kujua km ni padri slaa kule wanataka mkataba
 
Nyie wazanzibar tatizo lenu hamjielewi halafu hamtaki kukubali kwamba hamjielewi kwa sababu Dr. Slaa akiwaambia ukweli mtaanza kulalamika, muelewe kwamba Dr. Slaa ni mpinzani nyie ni CCM hiyo CUF ni chapa kuzuga tu.[/QUOTE
na nyie pia hamujielewi maana hamutaki kuileta Tanganyika yenu
 
Wazanzibar wakiunge mkono chadema, maana wanapigania zanzibar iwe huru, pia tanganyika!
 
Slaa na baraghasia.


Ndio maana Watanzania wengi ni masikini,wewe katika mada hii ulichokiona cha kujadili ni kofia(barakhashea)tu?.Unajadili vitu ma watu badala ya kujadili masuala!!!!?Hebu jiongeze kidogo,unatia aibu.
 
Back
Top Bottom