Live kutoka sumbawanga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Live kutoka sumbawanga

Discussion in 'Jamii Photos' started by Tangopori, Sep 13, 2012.

 1. Tangopori

  Tangopori JF-Expert Member

  #1
  Sep 13, 2012
  Joined: May 11, 2012
  Messages: 1,613
  Likes Received: 272
  Trophy Points: 180
  Live Toka Sumbawanga.....! N'gombe Mwenye Tabia Ya Kula Mazao ya Walipakodi a.k.a Wakulima, amekutwa Juu ya Paa La Mwenye N'gombe Alfajiri na Mapema huko Sumbawanga...


  View attachment 64890
   
 2. Zamaulid

  Zamaulid JF-Expert Member

  #2
  Sep 13, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 16,321
  Likes Received: 6,672
  Trophy Points: 280
  atashukaje hapo!!!au inabidi mwenye ng'ombe akamuombee msamaha!!
   
 3. m

  mjanjamimi Member

  #3
  Sep 14, 2012
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 87
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Yaani fundisho kwa wengine, hawa wataalam ningewajua mbona ningewaomba wanifanyie kwa wale majirani
  zangu wanaoachia ngombe na mbuzi zao kubomoa makaburi ya wapendwa wa wengine. Maana mwenye mbuzi ni mjumbe wa nyumba kumi sasa utamshitaki wapi? nimepata jibu ni sumbawanga tu naomba contact tafadhali.
   
 4. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #4
  Sep 14, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,151
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Kumbe na wewe ulikuepo hapo,nilikuona!
   
 5. D

  DCM Senior Member

  #5
  Sep 14, 2012
  Joined: Apr 13, 2012
  Messages: 165
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 45
  Hii kali,Yeye si anamuacha anakula mazao ya watu sasa atakula bati!
   
 6. m

  mjanjamimi Member

  #6
  Sep 14, 2012
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 87
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Kwanini ashuke? akale tena mazao ya watu? huyo hapo amefika mpaka afe njaa na kiu. Aaa wanyama hawana makosa mwenye makosa mfugaji watamshushatu subiri watu wote waamke washuhudie.
   
 7. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #7
  Sep 14, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,860
  Likes Received: 23,476
  Trophy Points: 280
  Nakumbuka hii picha ilishaletwaga hapa na mtaalam wa mafotoshop @c6
   
 8. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #8
  Sep 14, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,315
  Likes Received: 2,601
  Trophy Points: 280
  mi najiuliza tu hiyo picha imepigwaje!!
   
 9. mathematics

  mathematics JF-Expert Member

  #9
  Sep 14, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 3,285
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  hii ni photoshop tu
  [​IMG]
   
 10. Chris_Mambo

  Chris_Mambo JF-Expert Member

  #10
  Sep 14, 2012
  Joined: Aug 11, 2010
  Messages: 597
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  This is very serious. Kama ni kweli.....! Mnh!
   
Loading...