Live kutoka NMC-ARUSHA

wangefanyia mkutano pale uwanja wa kimandolu tindigani kwani napo ni pakubwa sana kuliko wa nmc. M4c ni dini ar


Kweli Arif Tindigani ni pakubwa kinoma afu ni katikati rahisi pia kwa Raia wa Tengeru, Usa na Maji ya chai kutimba.
 
Mkandarasi yupo site anapiga kazi balaa, vibarua wake wanajitaid kuweka uzio wa senyenge uwanja mzima, greda na makatapila yanatamba uwanjani. Vifusi vya mchanga na moram vinaingizwa na malori zaidi ya kumi. Hapa leo serikal imechukua pointi 3 dhidi ya Cdm.
Kwa iyo kumbe serikali inashindana na CDM???
Kujaribu kuzuiya nguvu ya chadema ni sawa na kuukinga mshale kwa kutumia kipande cha shuka.


Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
nashauri mkutano ufanyikie mianzini.barabara ikijifunga ndio waonyeshe pa kufanyia mkutano.

Kweli kabisa Soweto panatufaa pia.....ila kuna kiongozi mmoja anasema leo mkutano umezuiliwa kwasababu darasa la saba wako kwenye mitihani hivyo mkutano utafanyika jumanne next week.....mahali watatangaza ! Chadema arusha hata wakisema twende arumeru sie poa tu hivyo wala hawajatukomoa zaidi sana wanajisumbua!
 
Mi mwenyewe nimefika hapa nakuta vifusi. Sasa baada ya hiyo kazi mkutano unafanyikia wapi wadau?
 
Lema: kwa kuwa wamachinga ni wapiganaji wenzetu na tunawaheshimu tunaipa serikal siku 7 ichague kati ya nmc na kilombero wapi wamachinga wakae na ipi iwe cdm square. Mkutano utafanyika j4 next wk pale kilombero. Peoples power. Lema kaongea muda mfupi uliopita wakati anahairisha mkutano hapa nmc.
 
unategemea serikali itajibu nini?..... wao CCM watakwenda SHEIKH AMRI ABEID, Hata CUF pia, Kwanini CHADEMA waombe huko..... au viwanja vya bure.
 
Kutoka hapo NMC, M4C itahamia kule Masi camp kuna uwazi mkubwa wa kutosha. Lakini pia upo uwanja wa Sheikh Amri Abeid. Auvuko uwazi mwingine kule Sorenyi eneo la baraa. Huwezi kuyazuia mafuriko kwa kuyakinga na khanga.
 
HATA Binadamu hukata miti kila siku bila kuwajali viumbe ndege ,but they still singing and shouting,they never disappear ....
 
Viwanja ni vingi sana Arusha...Kujenga eneo la NMC hbakutazuia kitu...Hata Kwa Mrombo sokoni tutaenda!

Tena hapo kwa mromboo ni noma tukimaliza tunaagiza chomaz na supu za kumwaga wacha wahangaike, ni lazima watambue kwamba jua ni taa ya mungu haina switch.
 
Kutoka hapo NMC, M4C itahamia kule Masi camp kuna uwazi mkubwa wa kutosha. Lakini pia upo uwanja wa Sheikh Amri Abeid. Auvuko uwazi mwingine kule Sorenyi eneo la baraa. Huwezi kuyazuia mafuriko kwa kuyakinga na khanga.

Hakuna hata sababu ya kwenda mpaka sorenyi wakati kuna relini au soweto vya karibu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom