Live kutoka NMC-ARUSHA

Live kutoka NMC-ARUSHA

Vijana wako kwa pembeni na nyuso za huzuni. Serikal ingekuwa active siku zote kama leo hakika hata washington wasingetupata kwa maendeleo.

nimepita jana palikuwa wazi....leo uzio umeshawekwa.....walifanya hiyo kazi saa ngapi?.....wacha niweke picha mshuhudie wenyewe.....
 
Daah ebwana nguvu ya kaz iliyopo hapa kama ni kwa ajili ya kuizuia cdm tu basi hii ni totaly misuse of power ila kama wanania ya dhati ya kuboresha uwanja NMC nawapa big up ya vidole viwili juu.
 
nimepita jana palikuwa wazi....leo uzio umeshawekwa.....walifanya hiyo kazi saa ngapi?.....wacha niweke picha mshuhudie wenyewe.....

Preta dada yangu tunataka picha ya leo leo . Wewe si umesikia kazi inaendelea bado huko
 
Last edited by a moderator:
Maswali;
1/Uwanja wa NMC unamilikiwa na nani?

2/Je uwanja huo sio open space?

3/Kinachoendelea hapo ni ujenzi wa nini hasa?

4/Je kinachoendelea sasa kiliandaliwa kabla au ni mpango wa dharura?
 
Mkandarasi yupo site anapiga kazi balaa, vibarua wake wanajitaid kuweka uzio wa senyenge uwanja mzima, greda na makatapila yanatamba uwanjani. Vifusi vya mchanga na moram vinaingizwa na malori zaidi ya kumi. Hapa leo serikal imechukua pointi 3 dhidi ya Cdm.

Samahani mkuu, sijaielewa hii thread..ni Habari au Hoja?..
either ways naona kama haijitoshelezi vile(inahitaji maelezo zaidi)?
 
Maswali;
1/Uwanja wa NMC unamilikiwa na nani?

2/Je uwanja huo sio open space?

3/Kinachoendelea hapo ni ujenzi wa nini hasa?

4/Je kinachoendelea sasa kiliandaliwa kabla au ni mpango wa dharura?

1. Unamilikiwa na Manispaa.
2. Ni eneo la wazi.
3. Wamesema wanajenga vibanda vya kupangisha wamachinga wafanyie biashara hapo.
4. Ni mpango wa dharura baada ya kuona ndio mahali pekee cdm wanapoweza kukusanyika kwa wingi. Wameamua kufanya hivyo ili tu "tuone watafanyia wapi mikutano yao!"

Nadhani nimekujibu Mkuu!
 
Nasubiri nione mkutano wa cuf utafanyikia wapi!
 
Hata me nimepita hapo sasa hv nimekuta kazi inapigwa balaa, ni kweli kuna uzio umewekwa upande m1. Sio tu NMC hata barabara zimemwagwa vifusi.
 
Iyo ela ya kufanya izo kazi imetoka wapi?
Kumbe serikali ina hela
 
Preta dada yangu tunataka picha ya leo leo . Wewe si umesikia kazi inaendelea bado huko

picha ni ya sasa hivi.....makamanda tupo eneo la tukio.....ngoja nikae sawa....
 
Last edited by a moderator:
always CCM wanapojitutumua kuwazuia CDM ndio wanatufanya kuzidi kuwapenda lolest
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom