Live From Taifa: Simba Vs JKT Ruvu

Live From Taifa: Simba Vs JKT Ruvu

Furaha ya yanga ni mpaka Simba ifungwe na timu nyingine. Lakini mkikutana na Simba lazima mchapane bakora wenyewe kwa wenyewe.

Hamjiamini kabisa mpaka muone hali angalau, ndio mnajitokeza. Shukuruni Yanga tupo hapa kusongesha laa hakuna kitu.
 
Hamjihamini kabisa mpaka muone hali angalau, ndio mnajitokeza. Shukuruni Yanga tupo hapa kusongesha laa hakuna kitu.

Matokeo yakibaki hivi baadaye watafulika ajabu wakati muda huu wamesusa.
 
Polisi morogoro 1 mbeya city 0
mfungaji: Said bahanuz
 
Ngapi ngapi wakuu ?, maana nipo msituni nakaza kuomba dua ili thimba itoe droo ama kufungwa kama kawaida yao. Mkuu Masuke upo wapi ?
 
Kwani hamjiamini mkuu mpaka mchungulie kwa mbaliiiiiiiiiii!!!!!!!!.

Hapa sio suala la kujiamini au kutokujiamini ni maamuzi tu. Lakini tupo kwenye huu uzi tunaangalia wenye JKT Ruvu yenu na kocha wenu Minziro jinsi mnavyofurahi.
 
Ngapi ngapi wakuu ?, maana nipo msituni nakaza kuomba dua ili thimba itoe droo ama kufungwa kama kawaida yao. Mkuu Masuke upo wapi ?
Nipo Mkuu, bado tuko mbele kwa goli mbili dhidi ya moja.
 
Back
Top Bottom