yahoo
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 3,526
- 1,410
Ya kweli hayo ?
No,nilikuwa nataka amavubi azimie kama okwi
Ya kweli hayo ?
Merci ganike kane kawiza wiza for this useful update.Full time:
Simba SC 2 - JKT Ruvu 1.
Kwani hamjiamini mkuu mpaka mchungulie kwa mbaliiiiiiiiiii!!!!!!!!.
No,nilikuwa nataka amavubi azimie kama okwi
Coastal Union 0 - Mtibwa Sugar 0. Full Time.
Merci ganike kane kawiza wiza for this useful update.
Kivingine ipi wakati mnakuwaga hoi
Sherehe njema hapo msimbazi kwa mashabiki wa simba wote.
Hamjiamini kabisa mpaka muone hali angalau, ndio mnajitokeza. Shukuruni Yanga tupo hapa kusongesha laa hakuna kitu.
wameingia fungulia mbwa!Hao wameanza kujazana walikuwa wamejificha msituni
Leo "Lunyasi" wameshinda. Yule jamaa wa kulala kasimama leo analala chali.
Mwanzo ni kifaransa, halafu kikafuata kisukuma na nikamalizia na kiinglish.Masuke hapo mwanzoni kisukuma au? Shukrani kwa kushukuru pia nawewe.