kimugina
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 1,142
- 577
huyu kijana Abdi Banda ni mzuri
huyo Abdi anaonekana anajua ase
huyu kijana Abdi Banda ni mzuri
Jkt tandika hao,wapi makoye matale tunasubiri utabiri wako
JKT Ruvu tupeni raha siye, watu walilia, walilala huku wamesimama.
Tunataka leo wasirudi mitaani kwao kabisa.
Mkitoka sare powa hata 2-1 siye raha tu.
Hii mechi leo tunashinda, Wanasimba leo kuweni na amani, ila sijajua tutashinda kwa goli ngapi.
Mda si mrefu utanuna.
Muangalieni kaburu muda si mrefu atatoka jukwaani na kushuka chini. Na hapo ndipo either simba itapigwa kingne au ibaki hyo hyo. Yaan naskia rahaaaa Leo. sembo
Mda si mrefu utanuna.
Leo hadi nakuonea huruma!
kipindi cha pili tunakuja kivingine.
kipindi cha pili tunakuja kivingine.
Haya na tusubiri ila usikimbie tu kama wenzako
Hii mechi leo tunashinda, Wanasimba leo kuweni na amani, ila sijajua tutashinda kwa goli ngapi.
Mda si mrefu utanuna.