Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,936
- 30,048
Kivingine ipi wakati mnakuwaga hoi
Kama wamefungwa vyuma vile
Kivingine ipi wakati mnakuwaga hoi
Simba ni timu yangu tangu utotoni ila kipindi hiki inasuasua sana...It is my hope that we shall overcome na najua huu ni upepo tu...utapita.
Atakimbia kama wenzake sema tu kwa sasa anatafutia style ya kutokea. wapi mkuu Amavubi!!!!
Atakimbia kama wenzake sema tu kwa sasa anatafutia style ya kutokea. wapi mkuu Amavubi!!!!
tujuze kilikoni taifa sasa?
simba 2-1 jkt niupepo tuu utapita.kutangulia si kufika.
Hivi hii ndiyo timu iliyoifunga Yanga?