LIVE from MGM Grand: Floyd ''Money'' Maywether VS Alvarez...

nahisi kama bingwa wa mashauzi leo yatamkuta ya kumkuta...
 
FM kapigwa na ngumi ya ---- alikuwa kama anatooa chenga za marede...
 
...Roung 3 of 12

Duh nimewakumbuka kaka zangu walionifundisha kuangalia boxing tangu nikiwa mdogo. Nisingekuwa kwa walikonioza basi ningekimbilia makwao now kuangalia nao... Next time lazima tuwe wote, IJN.
 
FM ni uzoefu tu.
Ila haka kajunk katamu nako
 
Itakua poa sana lakini silioni hilo likitokea leo, mpaka sasa Mayweather anaongoza kwa round zote zilizoisha


mzee mwenzangu kwema?
Dah mkulungwa mwenzio jana nimeomba poo dakika ya 96
 
Dogo yupo poa...ila leo Floyd ni mjanja sana anataka kushinda kwa point. Ndiyo maana anamdonoadonoa dogo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…