Kama mna website, Twitter, Instagram account zinafanya kaz
Huwezi ukacheza na timu yako afu ukatangaza media mkuu, hata wao wanajua sema tu Baraka mpenja amewaibia ronja, afu kocha kafanya la maana maana kwa njia hiyo inafanya wa timu b waanze kuonekana
Tembelea mitandao ya timu kubwa duniani uangalie nini wanapost