Live from Azam complex :Simba vs Mlandege (friend match)

Hapana ndugu match ya leo ilikua nyepesi
Hnapokosa nafasi zaidi ya 5.
Then waenda kakutana na prison
Ambayo ni team yenye mpira wa nguvu na wakukaba na nafasi zinapatikana chache
Wadhani ataweza?
U serious wa mechi mkuu, Hawawezi kamia mechi ndogo kiasi hicho.....
Ila na prisons ni game ya league ko ni kitu serious.
 
Sina bifu na Simba ila mnavyobebwa na marefa mnajisikiaje?Kama jana na Mlandege yule Mpemba wenu kashika ila refa Sassi kapeta niliwaonea huruma sana Mlandege kila wakati wanamkumbusha refa kawanyima penalty...sio poa mpira ni burudani..kama goli la Ihefu Omari Mponda...kuwafunga Simba kazi ni kama ushindane na CCM kwenye uchaguzi..full figisu..
 
Mbona hulalamikii goli la Simba (Kagere) dhidi ya Ihefu kukataliwa?

Mbona husemi penalty ya wazi waliyonyimwa Kagera Sugar kwenye VPL msimu huu?

Kuwa mkweli ukiamua kuwa mchambuzi na siyo kuokoteza vipande vya makosa na kusahau mambo mengine.

Mnalalamikia eti Simba inabebwa unasahau ile mechi ya Yanga dhidi ya Kagera Sugar kwenye kombe la FA mlivyopitishwa kwa mbeleko kwenda nusu fainali.
 
Walicheza na kikosi b ila Simba upande wa media kuanzia website yao ni wazembe wanashindwa kupost habari za Simba mpaka tunasikia kwa watu back
Huwezi ukacheza na timu yako afu ukatangaza media mkuu, hata wao wanajua sema tu Baraka mpenja amewaibia ronja, afu kocha kafanya la maana maana kwa njia hiyo inafanya wa timu b waanze kuonekana
 
Huwezi ukacheza na timu yako afu ukatangaza media mkuu, hata wao wanajua sema tu Baraka mpenja amewaibia ronja, afu kocha kafanya la maana maana kwa njia hiyo inafanya wa timu b waanze kuonekana
Kama mna website, Twitter, Instagram account zinafanya kazi gani
 
Back
Top Bottom