LIVE feeds: Taifa Stars Tanzania VS Indomitable Lions (Cameroon)

Makoye Matale,Watu8 na wengineo tusaidiane kuwajuza wenzetu.

mkuu mkoloni alikua amekaba...yaani hapa ndio nafika nyumbani....natumai vijana wamecheza vizuri kama ilivyokua mechi ya Zambia.
 
lakini masikitiko yangu nikuwa tumekuwa tukicheza vizuri kwenye michezo ya kirafiki tu na pale tunapo chezea kwenye uwanja wa nyumbani!!tukitoa pua nje kipigo,tukiweka mguu kwenye mashindani kichapo!!!!
 
Safi sana vijana. ....kwa hali yoyote ushindi kama huu ni mzuri sana katika jitihada za kuinua soka hapa nchini!
 
Hizi mechi za kuchezea home sio kipimo kizuri inabidi tuombe mechi nyingi za ugenini, ndio tutajijua tupo vipi.
 
Labda hatujazoea michezo ya ushindani ndio maana...

lakini masikitiko yangu nikuwa tumekuwa tukicheza vizuri kwenye michezo ya kirafiki tu na pale tunapo chezea kwenye uwanja wa nyumbani!!tukitoa pua nje kipigo,tukiweka mguu kwenye mashindani kichapo!!!!
 
Ngoja tuwafunge sana hapa home heshima irudi...baadae wenyewe watakua wanatuita.

Hizi mechi za kuchezea home sio kipimo kizuri inabidi tuombe mechi nyingi za ugenini, ndio tutajijua tupo vipi.
 
Hivi hakuna yeyote mwenye clip ya Youtube ya hili game atubandikie humu jamvini?:A S 100:
 
Back
Top Bottom