Moja bila kafunga Samara DKK ya 89 Moira umekwisha.ongera taifa stars
afadhali tunaanza kuondoka kuwa kichwa cha mwendawazim!!!!!
unataka kusema kwenye mshindano ya kufuzu tusingewatungua hawa jamaa!lakini ina count kwenye viwango vya fifa!!Mkuu sisi ni kichwa cha mwendawazimu... hii ni friendly tu
Mkuu sisi ni kichwa cha mwendawazimu... hii ni friendly tu
Uhuuuuu! Zambia, Cameroon.... BAdo Misri, Ivorycoast, Nigeria, Ghana... Halafu tunalipiza kisasi kwa Brazil Yeees Safario hii tunaingia World CUP.
i cantt beleive why tanzania won this game?
Heshima kwenu wakuu.
Kwa wale tulioko ndani ya uwanja wa Taifa tujaribu kuwajuza wenzetu kile kinachoendelea ndani ya uwanja wa Taifa kwenye mechi kati ya Taifa Stars na Cameroon.
View attachment 82191
nilikuwa nikimpatia dullonet lakini toka dullo akamatwe sijawahi kumcheko tena!
[h=1]huu ndo ujumbe unaoonekana ukiingia dullonet This account has been suspended[/h]If you manage this site and have a question about why the site is not available, please contact NetFirms directly.Dullo amekamatwa? Tufafanulie tafadhali mkuu.
mali 1 nigeria 4
mkuu ndo kuzidiwa kwenyewe huko!!halafu eti waliwatoa SA!Mali wameuza gemu hawa