ndetichia
Platinum Member
- Mar 18, 2011
- 27,769
- 6,590
Butuabutua na rafu....
tehetehetehethe....
Butuabutua na rafu....
hivi mambulula ni watu wa caliber ipi?... ni mambulula kiaina ..
Mambulula kivipi.wanajitahidi ila wakameruni ni mambulula kiaina maana sijui itakuwaje..
vipi wapo pia online kwa tusio na ving'amzi!
Mambulula kivipi.
ukiona kimya ujue bado hakuna aliyeona mlango wa mwenzie!Mbona hamsemi matokeo nyie wananchi vipi, au ndio tumeshakameruniwa?
0-0, tutawakameruni tu hawa akina etoo.Mbona hamsemi matokeo nyie wananchi vipi, au ndio tumeshakameruniwa?
Mbona hamsemi matokeo nyie wananchi vipi, au ndio tumeshakameruniwa?
Huyu anatuchelewesha tu, bado najiuliza alikosaje penati..nyoniiiiiii nini bana presha za nini..
0-0, tutawakameruni tu hawa akina etoo.
ya kameruni wa malkia.Hapo kenye red tuweke sawa <cameroon> hawa wa uwanjani au ya wa kwa malkia?
sub tzHuyu anatuchelewesha tu, bado najiuliza alikosaje penati..
Hahahaah! Ila ni timu yao hii.etoo ajaja bana..
ya kameruni wa malkia.