da!!!naikumbuka ile penati!sasa hivi tungekuwa tunaongea mengine!45+2 Tz 0 - 0 Cmrn
da!!!naikumbuka ile penati!sasa hivi tungekuwa tunaongea mengine!
Kwani tunajua kucheza...duu bongo badala tukabe tunacheza rafu..
Dakika ya ngapi wakuu.
Kuna mtu humu JF alisema Star TV... check halafu rudi kuto mrejesho
vipi wapo pia online kwa tusio na ving'amzi!ndio star tv wanaonyesha mechi hii live
Hv hebu tupeni tathmini ya timu yetu kimchezo ikoje wadau
Dah mechi inaonekana giza kweli *via star tv*