LIVE feeds: Taifa Stars Tanzania VS Indomitable Lions (Cameroon)

LIVE feeds: Taifa Stars Tanzania VS Indomitable Lions (Cameroon)

Kaseja, Kapombe, Nyoni, Yondani, Morisi, Domayo, Sure boy, kazimoto, Kiemba, Samata na Ngasa......Listi hiyo
 
Jamaa wako vizuri...Abubakar Vincent anakosa goli baada ya kutandika shuti kali......on target unapaa kidogo
 
Tanzania wanapata penalt dk 26...mlinzi wa cameroon amenawa
 
We WABEJASANA​, acha kutuzingua, tupe kinachoendelea.
 
Shomari kapombe anapata njano....mpira wa adhabu ....wanakosa
 
Yule jamaa namba tatu ya Tontenham...Essou Koto alipiga kisigino kimoja balaaa......anajua sana
 
Back
Top Bottom