Live Feeds: Kutoka mahakama Kuu ya Rufaa Kivukoni - Rufaa ya Lema, Dec 04, 2012

Huyu wakili wa ccm anatuzingua tu, yaani watu wanaanza kusinzia mpaka majaji wanavua mwani,

Hajibu hoja anapiga siasa tu hapa!

Mi si mtaalamu wa sheria ila ukiona upo mahakamani unaongea na hakimu/jaji haandiki kitu anakuangalia tu ujue unaongea pumba inabidi unyamaze na kubadilisha hoja
 
hali imeanza kuwa mbaya! Naona guest wanaongezeka na members wanapungua!

Mkuu wa magogoni nae yuko nikupe IP yake, yaani mpaka najiuliza hivi kwanini serikali ya CCM wanamwogopa Lema wanaitaka Arusha hata kwa damu, Arusha kunanini walicho kisahau...
 
Wananchi wa Arusha wamepata hasara kubwa sana kumchagua huyu mtu. Kwa sasa naamini hawatakaa warudie tena kufanya kosa kama hili.

Kichwa kama CCM, kwendraaaaaaaaa! Mijitu mingine bwana, Whyiiiiiii
 
Utakuta guest wanaofuatilia kesi hii humu JF ni:
Kikwete, Makinda, Pinda, Nape, Kinana, Kibanda, Mangula, Mwigulu, Werema, Lukuvi, Kamanda Kamuhanda, IGP Mwema, Jaji Mkuu Chande, Komba, Kamanda Kova, Lusinde, Tendwa, Lowassa, Ridhwan Kikwete, Bashe, Kigwangwalla(Dr.Vitumbua), Prof Maji marefu, Mzee wa upako, Mama salma kikwete, Salama Jabir, Le Mutuz, Eric Shigongo, Juma Kaseja, Wema Sepetu nk
Pia Makamba mkubwa na Makamba kule Lushoto wanafuatilia kwa umakini mkubwa pamoja na akina mzee Shemvilu; Shemchungwa na Shempapai. Wanasema kama nbwai, nbwai tu. Wako wako Lushoto kwenye baridi ka vile Ulaya.
 
Mkuu Yericko kuwa objective. Tupatie na kile anachokisema Alute hata kama ni pumba. Watendee haki na wanamagamba wanaofuatilia humu.
 
weeh gamba rejao!!tabu yako akili yako imeshakuwa kama machicha ya nazi!!.unakaaa na kusubiri ufadhili wa magamba
 
Sasa kama wakili wa CCM anazingua haeleweki anataka kusema nini au anasema nini unataka aandike nini...

Mkuu samahani sana we huwa ni mtu wa matusi sana wengine hatujazoea sana hali hiyo,nategemea majibu kutoka kwa niliyemuuliza usidandie mambo yasiyokusuhu,unajua hata ndege ukiona wanaruka pamoja basi ujue wanafanana,huwezi kukuta ndege wasiofanana wanaruka pamoja.

usitake kuniharibia siku!
 
Ingekuwa mimi jaji ningemwamuru Baltida Burian aitishe mkutano wa hadhara naye amrudishie matusi aliyotukanwa na lema haiwezekan watu wazima 56 elfu wenye akili timamu wamchague lema eti kwa sababu alimtukana Batilda. HUU NI UPUMBAVU NA KUPOTEZA RASILIMALI ZA TAIFA.
 
Kasi ya ku apdate naona inapungua why? askari kawa mkali kwenye matumizi ya simu??
 
mod nisaidie hivi ni ruksa kurusha habari live kutoka mahakamani! sasa kwa nini ITV hawaruhusiwi kujiunga? au sisi tunavunja sheria... ? nisaidie maana na mimi nijue
 
Back
Top Bottom