Live Feeds: Kutoka mahakama Kuu ya Rufaa Kivukoni - Rufaa ya Lema, Dec 04, 2012

"Jaji anaomba ufafanuzi wa kipengele cha ambacho bunge liliruhusu matusi kwa wagombea na niaina gani ya matusi HII "HOJA WAKILI WA LEMA KAJIBU VIPI??
 
Utakuta guest wanaofuatilia kesi hii humu JF ni:
Kikwete, Makinda, Pinda, Nape, Kinana, Kibanda, Mangula, Mwigulu, Werema, Lukuvi, Kamanda Kamuhanda, IGP Mwema, Jaji Mkuu Chande, Komba, Kamanda Kova, Lusinde, Tendwa, Lowassa, Ridhwan Kikwete, Bashe, Kigwangwalla(Dr.Vitumbua), Prof Maji marefu, Mzee wa upako, Mama salma kikwete, Salama Jabir, Le Mutuz, Eric Shigongo, Juma Kaseja, Wema Sepetu nk

Ha ha ha! You have made my day!
 
Mkuu mahakama imesimama? mbona hakuna updates? mimi niko huku mtini Lindi hadi network inaanza kupotea potea vile
 
Utakuta guest wanaofuatilia kesi hii humu JF ni:
Kikwete, Makinda, Pinda, Nape, Kinana, Kibanda, Mangula, Mwigulu, Werema, Lukuvi, Kamanda Kamuhanda, IGP Mwema, Jaji Mkuu Chande, Komba, Kamanda Kova, Lusinde, Tendwa, Lowassa, Ridhwan Kikwete, Bashe, Kigwangwalla(Dr.Vitumbua), Prof Maji marefu, Mzee wa upako, Mama salma kikwete, Salama Jabir, Le Mutuz, Eric Shigongo, Juma Kaseja, Wema Sepetu nk

ahahahaha, na sisi tunaotumia vinokia 3110c tunahesabika?
 
Bila kuwasahau wale Madiwani tuliowapa BAN hapa Arusha

Utakuta guest wanaofuatilia kesi hii humu JF ni:
Kikwete, Makinda, Pinda, Nape, Kinana, Kibanda, Mangula, Mwigulu, Werema, Lukuvi, Kamanda Kamuhanda, IGP Mwema, Jaji Mkuu Chande, Komba, Kamanda Kova, Lusinde, Tendwa, Lowassa, Ridhwan Kikwete, Bashe, Kigwangwalla(Dr.Vitumbua), Prof Maji marefu, Mzee wa upako, Mama salma kikwete, Salama Jabir, Le Mutuz, Eric Shigongo, Juma Kaseja, Wema Sepetu nk​
 
Utakuta guest wanaofuatilia kesi hii humu JF ni:
Kikwete, Makinda, Pinda, Nape, Kinana, Kibanda, Mangula, Mwigulu, Werema, Lukuvi, Kamanda Kamuhanda, IGP Mwema, Jaji Mkuu Chande, Komba, Kamanda Kova, Lusinde, Tendwa, Lowassa, Ridhwan Kikwete, Bashe, Kigwangwalla(Dr.Vitumbua), Prof Maji marefu, Mzee wa upako, Mama salma kikwete, Salama Jabir, Le Mutuz, Eric Shigongo, Juma Kaseja, Wema Sepetu nk

Huyu wakili wa ccm anatuzingua tu, yaani watu wanaanza kusinzia mpaka majaji wanavua mwani,

Hajibu hoja anapiga siasa tu hapa!

Huyo Wakili mbona Thithiemu damu kwa hiyo kama kaishiwa hoja za kisheria lazima atarudi kwenye siasa chafu.
 
Mkuu pole sana hata kama ungekuwa unauza karanga licha ya kuuza kahawa! Ninachokuomba acha ubunuasi wa kuwa mtumwa wa mafisadi wewe Ritz tupo kwenye utandawazi wa Digital mtumwa wee!

Tatizo lako unapenda sana kudharau kazi za watu mara uwa kejeli wauza kahawa, mie muuza kahawa tu mkuu pale Kimara.
 
Last edited by a moderator:
Huyu wakili wa ccm anatuzingua tu, yaani watu wanaanza kusinzia mpaka majaji wanavua mwani,

Hajibu hoja anapiga siasa tu hapa!

Wakati unawasilisha updates za upande wa wakili wa CDM ulikuwa makini sana na harakaharaka,lakini kwa sasa hivi inaonekana hufanyi kazi kama ambavyo ulikuwa unafanya hapo awali,hebu jaribu kwanza kuweka upenzi pembeni ili utekeleze kazi yako vizuri kama ulivyokuwa umeianza,kumbuka Mkuu Mungi wakati ule aliifanya kazi yake bila upendeleo wowote,lakini kwa haya maneno yako unaanza kutia mashaka kama kweli unachokiwasilisha humu ndani kwa upande wa wakili wa mpinga rufani ni sahihi?!

Hebu weka mapenzi pembeni vinginevyo utaharibu kazi yako nzuri sana uliyokuwa umeianzisha na kupata sifa na bigup nyingi humu,umekuwa na maneno maneno mengi sana ambayo hayana tija wakati huu!!!!!!!
 
weeh gamba!!tabu yako akili yako imeshakuwa kama machicha ya nazi!!.unakaaa na kusubiri ufadhili wa magamba
 
Wakati unawasilisha updates za upande wa wakili wa CDM ulikuwa makini sana na harakaharaka,lakini kwa sasa hivi inaonekana hufanyi kazi kama ambavyo ulikuwa unafanya hapo awali,hebu jaribu kwanza kuweka upenzi pembeni ili utekeleze kazi yako vizuri kama ulivyokuwa umeianza,kumbuka Mkuu Mungi wakati ule aliifanya kazi yake bila upendeleo wowote,lakini kwa haya maneno yako unaanza kutia mashaka kama kweli unachokiwasilisha humu ndani kwa upande wa wakili wa mpinga rufani ni sahihi?!

Hebu weka mapenzi pembeni vinginevyo utaharibu kazi yako nzuri sana uliyokuwa umeianzisha na kupata sifa na bigup nyingi humu,umekuwa na maneno maneno mengi sana ambayo hayana tija wakati huu!!!!!!!

Sasa kama wakili wa CCM anazingua haeleweki anataka kusema nini au anasema nini unataka aandike nini...
 
Back
Top Bottom