Live Estadio do Maracana Germany-Argentina PHOTO.....

Live Estadio do Maracana Germany-Argentina PHOTO.....

Yale magari tuliyoyazoea huko ya aji ya kuwasha leo huku yapo mengi mitahani....
kuasha.jpg
shakila akielekea uwanjan
hh.jpghh.jpgdd.jpg
 
Nitakukumbuka Daima nikiondoka huku umenifundisha vitu vingi katika kazi yangu
dd.jpg
 
hh.jpg
Mkuu bysange mapema asubuhi ya leo huku nimebahatika kuviona vichupi mara ya mwisho aisee nitavimis sana
dd.jpg
 
Internet in Maracana has gone down. Company working on it.Mkiona nimepotea msishangae ila muonekano wa Uwanja kwa sasa hivi ndivyo hivi
hh.jpgHii ni kamera maalum kwa kazi ya kumuonyesha captan atakae nyanyua kombe la Dunia 2014Brazil///
hh.jpg
kuasha.jpg
 
hh.jpgHaba ningekuwa mzoefu na yale mambo yetu ya vidole viwili kwenye madaladala hapa ningetoka na Faida ....
kuasha.jpghh.jpg
 
Kila la NAPITA wape salamu zangu Germani waambie wabebe ilo Kombe
 
Last edited by a moderator:
hahahaaaaaaaaa,ninacho shukuru bado upo salama,angalia tu usije ukarudi na mmoja

ha!ha! mpaka jumanne sitaweza kurudi nae mkuu ingawaje nitawamis sana Brazil sitaisahau Maishani mwangu hasa mashindano haya.
 
ha!ha! mpaka jumanne sitaweza kurudi nae mkuu ingawaje nitawamis sana Brazil sitaisahau Maishani mwangu hasa mashindano haya.[/QUOTE
Matukio mengi ya huko kuna mengine hayawezi kufutika hata kidogo,maana ya mezidi hata umaarufu wa vigodoro hapa bongo
 
Back
Top Bottom