NAPITA
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 5,077
- 2,250
NAPITA ungezamia tu huko huko huku maisha magumu sana mkuu.
_si umesikia hata mia tano wanatengeza ya coins
Mkuu: unamshauri azamie Brazil?Hajipendi basi, itabidi ajiandae kuugulia machungu ya 7-1?!
hahaha,basi aonoke na mjerumani akishapewe hicho kikombe
kombe lipi.?lile linafunikwagwa mwanaharamu akipita.? kombe la dunia linaenda kwa messi alivuki maji..Umemshauri vema.Akae karibu na Angel Merkel apewe "lift" na asaidie kubeba kombe!
kombe lipi.?lile linafunikwagwa mwanaharamu akipita.? kombe la dunia linaenda kwa messi alivuki maji..
kwema mkuu?huku tunapigana kwa ubishi wa mechi za leo yaani shida na ukirudi jiandae kutumia jero ya koini/sarafu