M/kiti CDM Ilala yuko jukwaani sasa,anasema kwamba muda wa mabadiliko ni sasa,mabadiliko ya kuelekea kwenye serikali makini na adilifu,wananchi waangalie sasa chama kinachosimamia maslahi ya wanyonge,CCM imeshindwa kuwaletea wananchi maendeleo,watupwe sasa