Baraka F.K
Member
- Aug 28, 2012
- 79
- 28
Jeneral Ulimwengu anaendesha kipindi cha Jeneral on Monday,
Mada ni Mauaji ya Mwngosi - Nyororo
Wachagiaji jaji Mihayo na mwenyekiti wa baraza la Waandishi wa habari
www.jamiiforums.com
Mada ni Mauaji ya Mwngosi - Nyororo
Wachagiaji jaji Mihayo na mwenyekiti wa baraza la Waandishi wa habari
PICHA: Hawa ndio waliomuua mwandishi wa Channel Ten (Daudi Mwangosi) huko Iringa
Wana JF, Naomba mniruhusu niweke picha zenye sura za walioshiriki kitendo hiki cha kihuni ambacho ni uvunjifu mkubwa wa haki za binadamu kama kamera yangu ilivyokinasa. Nina picha ambazo zimechukuliwa zinazoonyesha walioshiriki na jinsi walivyoshiriki. Hata RPC alikuwepo eneo la tukio...