Dupe
JF-Expert Member
- Jan 21, 2013
- 1,668
- 811
Muda huuu Azam tv wako live wakionyesha makatibu wakuu wanavokula vifungo na Mh Rais ni makatibu wakuu na manaibu wao.
Kuna form maalumu ambazo wanasaini ambazo zinakiapo,
Mh Rais anawaomba wale ambao hawakubaliani na maelezo yaliyo kwenye form ya mkataba huo ambao wanaingia makatibu wakuu na manaibu wake wakae pembeni ili walio tayari waweze kuendelea.
Watumishi wote wanasoma form zao wakiongozwa na Katibu mkuu kiongozi wakila kiapo chao kama mkataba kati yao na serikali na wananchi.