LIVE: Arsenal VS Bayern Munchen...

LIVE: Arsenal VS Bayern Munchen...

Ukisoma haya malumbano siku yako inakuwa boraaa kabisa, washabiki mna raha sana, kandanda linachezwa Emirate matusi Bongo. Keep it up guys
Mimi sio Gunners na japo sikutabiri kwenye jamii forums lakini nilijua gunners wanapigwa.niliona post ime kuwa edited dakika chache baada ya game nikatia mashaka na sikuona any comment reflecting the game zaidi ya results

Matusi ya nini mzee wa Milan, mpenzi wa Ronaldinho. Hauwezi kujieleza bila kuandika matusi? acha kuwa kama mshabiki wa kariakoo lindi!

Hajachamba na maumivu ya libolo juu, maaaanina!

Kakurupuka hajachamba...
Achana nae

Umekurupuka bila kuchamba ona sasa Nzi wanavyo kufuata...
nime edit ili nikuwekee ofisi zangu za unajimu na utabiri zinapopatikana.
Tazama watu walioninakili hapo awali utagundua utabiri wangu ulikuwaje...

Both,
naona we ulikua bize kutoa updates za match kama vile ulianzisha uzi wewe, Au ulizani hatuoni hiyo match mpaka ugeuke Halima Mchuka kujifanya commentator?

Sio kweli hiyo prediction ilikuwepo kwa uzi wa kwanza zaidi, me natoa comment yangu ya kwanza mchana kwenye huu uzi prediction ilikua hivyohivyo.

Kama una maumivu ya LIBOLO Munich tafuta tu mtu akukande sio kuja kutoa ushuzi hadharani!
 
2 - 0.........

Hapana sio kweli,, arsenal amefungwa 3-1 emirates, so bayern ana 3 away goals,,, arsenal akishinda 2-0 munich anakuwa na 2 away goals, so bayern anapita kwa away goals maana ana mengi kuliko arsenal..

Ili arsenal apite anapaswa kushinda goals 3-0 au zaidi.. Lakini lazima ayafute magoli 3 ya bayern aliyofungwa away kwa yeye naye kupata magoli zaidi ya matatu away
 
Poleni Arsenal,ila usilete mbwembwe kwa mamba kabla hujavuka mto..
 
Matusi ya nini mzee wa Milan, mpenzi wa Ronaldinho. Hauwezi kujieleza bila kuandika matusi? acha kuwa kama mshabiki wa kariakoo lindi!
Sasa si unapenda mwenyewe kutukanwa pale inapobidi? mimi nilichangia huu uzi jana MCHANA ukiwa na utabiri wa Gang Chomba lakini wewe ukajiona unaelewa zaidi angalia sasa, sijui bado una kiwewe cha LIBORO?
 
Last edited by a moderator:
Hebu soma makamasi yako hayo, mpira upi wa kujitahidi usiokua na mbinu za kushinda? Kwani watu wanaingia uwanjani kusaka nini? Sasa kama hawana mbinu za kushinda wanakua wanajitahidi katika nini? Kufungwa?

ilikuwaje gemu ya barca na chelski msimu ulipita tumia akili mkuu sio unaropoko na unazi maandazi panapoonekana sema sio unaumia tu walipakisha basi ila walikuwa hawana ujanja wakujaribu ndio maana wakafungwa na ukiangalia goli la kwanza kroos alipiga mbali au basi tu unaandika tu kinazinazi..
 
Gang Chomba kama uliBET jana kwenye michezo yao ile basi utakua umevuta mkwanja wa maana. Safiiii sana mkuu.
 
Gang Chomba kama uliBET jana kwenye michezo yao ile basi utakua umevuta mkwanja wa maana. Safiiii sana mkuu.

hapo bayern kajitahidi alipewa point 2.17 wakati podoski kufunga goli kwanza kapewa point 8.5.. kwa upande wa bayern hela ni ndogo sana kwan wanajua lazima washinde..
 
Hapana sio kweli,, arsenal amefungwa 3-1 emirates, so bayern ana 3 away goals,,, arsenal akishinda 2-0 munich anakuwa na 2 away goals, so bayern anapita kwa away goals maana ana mengi kuliko arsenal..

Ili arsenal apite anapaswa kushinda goals 3-0 au zaidi.. Lakini lazima ayafute magoli 3 ya bayern aliyofungwa away kwa yeye naye kupata magoli zaidi ya matatu away

yaani umeandika maelezo yote haya maana yake huyo mtu anashabikia mpira siku zote alikua hajui?
 
Sasa si unapenda mwenyewe kutukanwa pale inapobidi? mimi nilichangia huu uzi jana MCHANA ukiwa na utabiri wa Gang Chomba lakini wewe ukajiona unaelewa zaidi angalia sasa, sijui bado una kiwewe cha LIBORO?

Hahaha haya bwana habari ya LIBORO waeleze wana Simba au Arsenal mimi sihusiki na AC Milan nao unaweza kuwaeleza maana leo lazima MESSI awalambishe
 
Hapana sio kweli,, arsenal amefungwa 3-1 emirates, so bayern ana 3 away goals,,, arsenal akishinda 2-0 munich anakuwa na 2 away goals, so bayern anapita kwa away goals maana ana mengi kuliko arsenal..

Ili arsenal apite anapaswa kushinda goals 3-0 au zaidi.. Lakini lazima ayafute magoli 3 ya bayern aliyofungwa away kwa yeye naye kupata magoli zaidi ya matatu away

Ma bad, thanx for correction Mkuu!
 
Daah!Bora Arsenal ishuke hadi daraja la 3 watu wabaki na amani,manake jana ev.body was against us,kama mnajua siye vilaza kwanini mlijaa sana jana kujua nini kitajiri?jana angepigwa liverpool,comments zisingefika hata 20 na ukiangalia history,liver wako juu zaidi yetu.
 
Arsenal inaingia Dimbani leo kupambana na ngoma ngumu barani Uropa yaani Bayern Munich kutoka Bavaria Ujerumani.

Arsenal ikiwa na kumbukumbu mbaaya zaidi kwa kutolibeba kombe la klabu Bingwa Barani Ulaya, inaingia dimbani ikiwa haipewi nafasi yoyote ya kuweza kufanya vyema na kuingia hatua ya robo fainali kiasi kwamba wachambuzi wa maswala ya Soka wametanabaisha kuwa hata mechi zote mbili zingalichezwa uwanjani Emirates basi Arsenal wangeyaaga mashindano.

Bayern wanaingia uwanjani wakiwa wamekamilika kila Idara. Wana kocha mzuri, wana kocha mtarajiwa mzuri pia.
Wana wachezaji weengi wa kiwango cha juu tofauti na kilabu cha Arsenal.

DID YOU KNOW?
Arsenal and Bayern Munich have met four times before in the Champions League, with the Gunners
victorious just once.
Their last meeting was also at the Champions
League last-16 stage, which the German side won
3-2 on aggregate in 2004-05.

Olivier Giroud has four assists in the group stages of
the Champions League this season; only Zlatan
Ibrahimovic has more with five.

Lukas Podolski has scored three goals from three
shots on target in the Champions League this term. He is 17/2 to score the first goal in the game
with BetVictor.
Bayern Munich had the most different goalscorers in the group stage, with nine.
The German side also conceded the fewest shots on
target in the group stage, with just 17 against. TThe Bavarians last won in England in April 2001,
with a 1-0 quarter-final victory over Manchester
Utnited on course to winning the tournament. Mario Gomez (mnyama) has scored 25 goals
in 26 Champions League starts.

Gang Chomba Prediction...
Arsenal 1-3 Bayern Munich

Ofisi zangu za utabiri zipo Magogoni...
Kama Sheikh Yahya,haya na leo Turati itakuwaje,angalia unaweza run away,ila huwezi runaway from yourself(unaweza kutukimbia ila hauwezi kujikimbia mwenyewe)
 
Kama Sheikh Yahya,haya na leo Turati itakuwaje,angalia unaweza run away,ila huwezi runaway from yourself(unaweza kutukimbia ila hauwezi kujikimbia mwenyewe)

Gang chomba njoo utupe utabiri wa Turati leo,,, usije ukajikimbia mwenyewe tu...

Milan has a tough test in europe than any other team this year... By Tom hicks espn football analyst (he said that soon after watching champions league draw)
 
Hata ujae vp hauwezi kudunda Baharini...
miujiza ya mwisho ni ile ya yule mzee wa Loliondo ambaye juzi kati ameonekana anatoka pharmacy kununua mkojo wa Punda

chomba unakumbuka Intermilan alimpiga arsenal 3 bila! highbury park , je unakumbuka alikwenda kumfanya nini alipofika Stadio Giuseppe Meazza..? ni mapema sana kuwaondoa arsenal .. ngoma bado mbichi hii! though kombe ni la JUVE!

jikubushe mkuu! video hii
 
Viper Ulikuwa umejificha wapi,pole sana kwa yaliyokukuta Emirates

Hiyo iliyomfunga Inter ilikuwa ni Arsenal hii ya sasa ni Arsenane kuna tofauti kubwa sana
 
Last edited by a moderator:
Viper Ulikuwa umejificha wapi,pole sana kwa yaliyokukuta Emirates

Hiyo iliyomfunga Inter ilikuwa ni Arsenal hii ya sasa ni Arsenane kuna tofauti kubwa sana

Belo umenena vyema kabisa.
 
Last edited by a moderator:
Arsenal hii ndoo ya UEFA champions league in wenyewe. Ni timu 3 tu za EPL zenye kuitwaa hii ndoo, but si Arsenal, Totenham wala Man C
 
Ubora wa timu ni pamoja na kufungwa, wakuu tupo halftime maneno mengi kama pilipili manga nini kinawasukuma kama sio wivu? Wacha nicheke mie .. ... ... khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Back
Top Bottom