Guys, naomba msaada wenu. Mwenye uelewa wa namna ku download series naomba anielekeze tafadhari. Jana nimenunua CD ya jack Bobwer Live another Day mwendelezo wa 24 hours, cha ajabu ilikuwa na episode moja tu wakati imeanza kuonyeshwa tangu tarehe 06/05/2014. Nilitegemea japo episode 5, nitizame masaa 5, sasa ni saa moja, season moja ina episode 24, sasa kama wana burn episode moja kwenye CD tutalipa kiasi gani? Naombeni msaada kwa wale wanaodownload series au movie. Kuna wakati nilikuwa masomoni uswiss nilikuwa natumia WAWACITY lakini niliporudi huku ilikataa baada ya kugunduwa server niliyokuwa natumia ni tofauti