Live another Day: JACK BOWER

Live another Day: JACK BOWER

Mbona mie inaniita nicreat account of na mode of payment?

Ingia www.g2g.fm wala haitakuomba ku creat a payment account mimi nimeingia moja kwa moja nikaanza kutizama tena kwenye simu, kuna movie tamu za mwaka huu hata zilizotoka April majuzi tu
 
Kiongozi yaani hii kitu noma, nimeiingia nikaanza kutizama kwenye smu yangu ya iphone4 bila matatizo. Thank u so much. Nimeona na movie nilizokuwa natamani ngoja niweke bundle za kutosha

Poa mkuu,kila la kheri!
 
Mbona mie inaniita nicreat account of na mode of payment?

Download kwanza uTorrent.Kama unatumia simu na operamini browser haikubali badilisha utumie nyingine,mimi natumia UC browser.
 
ingia MediaTvZone au download utorrent then install halafu nenda kickass torrent kuna search bar,andika series unayoitaka zitakuja then chagua moja utorrent itatokea then weka ok....24 ni kila j3 utazikuta net ni naenda episode ya nne sasa
 
Hawa fox24 wanaboa saana.. Y iwekwe jumatatu peke ake na ni kiepisode kimoja tu?
 
Wakuu naomba kujuzwa series za kikorea naweza zipata wapi kwenye mtandao na kudownload. Maana kwenye showbox hazipatikani.
 
Ingia Hapa
Levidia.ch/

Ndiyo kwanza ipo Episode ya 4
kama kuna mtu kakwambia i[po complete mwambie akutafutie then akupe yeye mwenyeweeee!!!!:baby::baby:
 
Aaaah Jack Bower humfahamu? Kama hujatizama series ya 24 hours siyo rahisi kumfahamu

Honestly nimejikuta nacheka sana mwenyewe...maana huyo anayeuliza Bower ni nani alitegemea ugundue jina umekosea, lakini mwenzetu very naive hujagundua, ndo inazidi kukoleza!Dah, am still smiling!!
 
Ingia Hapa
Levidia.ch/

Ndiyo kwanza ipo Episode ya 4
kama kuna mtu kakwambia i[po complete mwambie akutafutie then akupe yeye mwenyeweeee!!!!:baby::baby:

IPO HADI EPISODE YA 5 sasa!
 
IPO HADI EPISODE YA 5 sasa!

hii series ni kwere sana baada ya kuangalia behind the scene yake nimekuja kugundua kwamba huwa wanatumia hela nyingi sana kwenye kutengeneza series,coz nimeona real explosion not to mention events occur at real time.
 
The best series on the planet


In this world nothing is certain than Tax and Death.
 
Back
Top Bottom