LIVE: AC Milan VS Barca...World successfully VS World entertainer

kumbe milan ndio wanabebwa na refa, mambo ya rede na netiboli kwenye futiboli ndio nini!
 
kabla sijamaliza goal boateng prince
 
Umeona mkuu wangu? Watu hawajui kama kuna kitu kinaitwa factor of safety.............. Kwa mfano msome huyu hapa chini..................
Plan B? Yanini kama Plan A inalipa? Maisha ni leo au kesho??? Damn!!!!!

Safety factor? How safe are they so far ..?
 
Asee Balloteli huwa hali mangarambula, hiyo totoz yake balaa!
 
Naona mpango wa kuiondoa Barcelona unaanza rasmi goli limefungwa huku mpira ukiwa umechezwa foul ya mchezaji namba 17 aliunawa
 
Naona mpango wa kuiondoa Barcelona unaanza rasmi goli limefungwa huku mpira ukiwa umechezwa foul ya mchezaji namba 17 aliunawa
hapo na pique kala kadi kama ilivo kuwa kule camp nou msimu uliopita..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…