kule kulia kuna Dani Alves, kushoto Jord Alba, Katikati kuna Iniesta mbele King Lionel Messi.
I cant run even Hide....
hahahahahahahahahahahahaha Mkuu, wewe una Utani na Gang Chomba, hahahahahahahahahahahahahahaha
Hata wangekua wanacheza na Tukuyu Stars ningekua jukwaa la Tukuyu Stars nikishangilia kwa mbwembwe zote
Barca anapotea leo!ushindi wao leo labda mtoto wa kabati (draw)...mipango ya barca pale kati leo inaharibiwa tu na watu wa kati!....ukitaka kuwapoteza barca haribu mipango ya kati usishindane nao na hii ndo siri ya viungo wa milan kila msimu lazima wawe na mtu wa kati muharibifu,midfield destroyer!rejea uchezaji wa gattuso au gilberto enzi za arsenal!

yah manHuo ni uongo...
Kama ulianza kudekea Soka mwishoni mwa miaka ya 70 basi ungekikuta kikosi boora cha Arigo Sacchi kilichochukua ubingwa wa ulaya mara mbili mfululizo.
Milan ya 89-90.
1. Galli
2. Tassotti
3. Maldini
4. Costacurta
5. Baresi
6. Colombo
7. Donadoni
8. Riijhkard
9. Van Barsten
10. Gullit
11. Ancelotti
Kikosi hiki kilichaguliwa kuwa kikosi booora cha Karne.
Hao Barca wako ni mavi matupu kwa kikosi hicho.
nenda katafute habari za makocha hao na jinsi walivyotamba walipokuwa pamoja walifanya nini.