Gang Chomba
Platinum Member
- Feb 29, 2008
- 20,734
- 4,871
- Thread starter
-
- #261
Ha ha ha ha,, pamoja na sifa zote hizo ukilinganisha kikosi cha milan na barca haviendani kabisa,,
We forward shaarawy sijui pazini wenzako forward messi,
Katikati we una boateng sijui montolivo wenzako Xavi na Iniesta..
Beki una Abate sijui Zapata wenzako wana puyol, pique, bousquet, all about world cup/euro winners
Kitachotokea ni zaidi ya arsenal na bayern jana,, mtu mzima ataaibishwa Turati leo
Gang Chomba,piga sarakasi uwezavyo na kanzu yako but mind the underwear you forgot to wear,kipigo cha 3-1 kipo pale pale.Gang Chomba hata mgangamale vipi,chombo kwenda mrama ni lazima!mark my words!
Leo imekula kwako mkuu..Nesi ndo nani?Mbona unamtaja kwa uwoga hivyo..Ahahahahah..Kibibi kizee chatiwa mimba leo maajabu ya dunia.
nasikia mavvi ya kale yameanza kunuka kumbe hawa jamaa kutokana wanacheza mpira sana na bahasha za kaki ndio zilikuwa zinawapa kiburi sijui kikosi kitavunjwa kile cha dunia..Siku nyingine usije kurupuka kuwadhihaki
Milan...
naona umeamua kutoa ofa kwa kuvunja best team ever why always milan destroy this team?Gomba kwangu wiki nzima
nasikia mavvi ya kale yameanza kunuka kumbe hawa jamaa kutokana wanacheza mpira sana na bahasha za kaki ndio zilikuwa zinawapa kiburi sijui kikosi kitavunjwa kile cha dunia..
walidhani watashinda kumbe ni wachezaji wadogo sana na wasio na ustar wa hali ya juu ndio wamewalaza na mtalimbo dodo..Tukisema barca wanaboa we mean it, ona statistics hizo
wameshawapa salamu wakiwatoa tu hawa jamaa ujue wanachukua uefa hizi ni takwimu za hii misimu minne iliyopita..There's no club like AC Milan
Forza Milano